Chadema leo mkutano wa hadhara wapi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,020
Naulizia tu kwa ndugu zetu wa Chadema ambao kwa sasa sera yao kuu ni mikutano ya hadhara

Leo mko wapi?

Mzee Mgaya anawasubiri Iringa
 
Mikutano hii ya kisiasa ni migumu sana kama unakusanya watu Kisha unaropoka uongo, maana watu wanakuona unawadharau.
Utakuwaje uko madarakani 5years Kisha unawaletea story zilezile na maneno mengi ya oye! Oye! Kama vile mapambio?
Matokeo ndio hayo wanafanya Yao, oneni kuanzia dakika ya 4.20 mtiti ulipoanza!

Watu wa Mtwara Mungu amewaletea moshi, moshi oyeeeee! Hakujua fyuzi imekata.
 
Back
Top Bottom