Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Simple sana. Anayepatia ni CDM, anayepoteza ni machawa wa CCM wala sio CCM. Hii ni kama kusema mwenendo wa siasa hizi ni CDM vs Machawa wa CCM. Kuna uzi humu nimeandika kwamba, adui mkubwa wa...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema leo amekutana na mh Rais Samia Ikulu ndogo jijini Arusha. Mbowe amesema Maridhiano ni Process hayawezi kukamilika kwa Siku Moja kwani lengo lake ni kubadili...
0 Reactions
5 Replies
529 Views
Huyu Mwenyekiti wa UVCCM NI kweli alijenga hoja akachaguliwa na wapiga Kura au alipitoshwa? Nimemsikiliza anazungumza jukwaani Dodoma, nikamsikiliza anaanza kusema anataka amfundishe Dr. Slaa...
3 Reactions
0 Replies
478 Views
Msafara wa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa Jijini Arusha wakisindikiza Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akielekea Usa River kwa ajili ya...
7 Reactions
76 Replies
5K Views
Kwa hakika, na bila mashaka, uongozi wa Rais Samia umeonesha ushupavu. Wakati viongozi waoga huwaogopa wapinzani wao wa kisiasa, Rais Samia, bila woga, anawaweka karibu. Tangu mfumo wa vyama...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napenda kutumia jukwaa hili kuwashauri wabunge wote wa ccm kuchapa kazi kwa bidii,uzalendo ,uadilifu na kujitolea kwa ajili ya Watanzania,wabunge wa CCM fanyeni kazi kwa...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Kuna kakikundi Ka watu kalijiaminisha kwamba kanaweza kuidhorotesha Kanda ya Kaskazini kiuchumi na kisiasa kama walivyofanya Kanda ya Kati lakini Mungu amewaumbua kwamba wachapa KAZI dawa Yao siyo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Binadamu husahau mapema sana. Nimekisikiliza kilio cha Msomi Kitwanga na nikagundua ni kinyongo halisi kinachokuwa katika maongezi ya kundi zima lililokuwa nyuma ya hayati JPM miaka ile akiwa...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni dhahiri ndani ya CHADEMA watu wanachekeana usoni ila mioyoni mwao watu wanapiga mahesabu ya 2025. Baada ya uchaguzi wa 2020, Kamati kuu ya chama hicho ilitoa msimamo kuwa hakuna kushiriki...
7 Reactions
103 Replies
4K Views
Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi...
14 Reactions
244 Replies
16K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Mh Freeman Mbowe leo 5/3/2023 atahutubia Nchi yake kupitia kwa waandishi wa Habari . Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kwa Umma...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Lazima tuseme ukweli kuwa huyu mama yetu ana mengi moyoni mwake. Amewakata kilimilimi wabunge wa ccm kina Mtaturu na Kitila na UVCCM wote kuwa upinzani siyo uadui. Naona sasa tutaelewana na wale...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kila...
0 Reactions
2 Replies
686 Views
Mheshimiwa Wizara yako itambue wanasemina hao wa sayansi kutokea Tabora wanalishwa milo miwili kwa siku yaani asubuhi na mchana pekee, pia wanajitegemea kulala kwa kulipia gesti Hadi Sasa Lakini...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Watanzania tutafute suluhisho na sio kuwa wanafiki. Kipato cha tsh 7,000 kwa siku hakitoshi na ni umasikini. Tunaweza kutofautiana kwenye siasa lakini sio ukweli hili. Badala ya kujidanganya...
7 Reactions
51 Replies
4K Views
Na Bwanku M Bwanku. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema ameacha ujumbe wenye maelekezo manne wakati wa kuhitimisha ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel...
1 Reactions
1 Replies
701 Views
Moja kwa moja kwenye maada, kumekuwa na unafiki mwingi sana enzi na enzi kutoka kwa wanasiasa (ukiondoa enzi za awamu ya kwanza ya Julius), hawa jamaa huwa wanapanda jukwaani na kuandika na...
1 Reactions
5 Replies
561 Views
Kufuatia kilio cha baadhi ya viongozi wa dini kuona kuwa hawawezi tena kusimamia mambo ya kiroho hadi kufikia kumtuma Askofu Gamanywa kuiomba serikali iteue Kamati ya Maadili ya Viongozi wa dini...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amefanya ziara ya siku saba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…