Askofu Gamanywa: Mwenye Haki hutwaliwa ili kumtenganisha na Waovu, Mpinga Kristo ni Shoga na Dini yake ni Ushoga Daniel 11:36-37

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Askofu Gamanywa wa BCIC amesema Mwenye Haki hutwaliwa ili kumtenganisha na Waovu asije akaangamizwa pamoja nao

Askofu Gamanywa amesema Mpinga Kristo ambaye atakuja kiutawala hii Dunia ni Shoga na Dini yake ni Ushoga

Askofu amesisitiza kwa sasa hali ya Ushoga imefikia kiwango cha kutisha Duniani kote na silaha pekee ya Kupambana nao ni Injili Takatifu ya Yesu Kristo

Source: Shalom tv/ Wapo Radio
 
Askofu amesisitiza kwa sasa hali ya Ushoga imefikia kiwango cha kutisha Duniani kote na silaha pekee ya Kupambana nao ni Injili Takatifu ya Yesu Kristo
Tunawafikiaje wenzetu wasiotumia Injili kuleta wokovu ila kukusanya sadaka
 
Gamanywa mwenyewe ni mpinga kristo ndiyo maana amejianzishia kitega uchumi chake anakiita kanisa.

Ni Gamanywa huyu huyu aliyekuwa anaendesha DECI akatapeli hela za watu.
 
Gamanywa mwenyewe ni mpinga kristo ndiyo maana amejianzishia kitega uchumi chake anakiita kanisa.

Ni Gamanywa huyu huyu aliyekuwa anaendesha DECI akatapeli hela za watu.
Tafsiri yako iheshimiwe na wapumbavu kama wewe
 
Back
Top Bottom