CCM ifanyie Kazi hoja za Lema kuhusu Mazingira ya Ajira ya Bodaboda, Riba za Vicoba na Vijana Kuwa Tegemezi wa Kamari!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,073
Nakumbuka hata ile hoja ya Elimu Bure na Bima ya Afya kwa wote zilikuwa za Dr Slaa wakati akiwa ni Mtendaji mkuu wa Chadema

Hivyo tuangalie hoja za Godbless Lema kwa jicho la tatu Naamini ana lengo jema hata kama maneno anayotumia Kwenye uwasilishaji yana ukakasi

Mungu ni Mwema wakati Wote!
 
Yote hayo CCM inatafanyia kazi kabla hata ya Lema kutamka. Kimsingi Lema kakiharibia chama chake.
 
Nakumbuka hata ile hoja ya Elimu Bure na Bima ya Afya kwa wote zilikuwa za Dr Slaa wakati akiwa ni Mtendaji mkuu wa Chadema

Hivyo tuangalie hoja za Godbless Lema kwa jicho la tatu Naamini ana lengo jema hata kama maneno anayotumia Kwenye uwasilishaji yana ukakasi

Mungu ni Mwema wakati Wote!
Jo wewe siulikuwa tayari kuwahujumu Chadema,au ule 🍞 umeingia mchanga siku hizi🤔
 
Back
Top Bottom