Ni kama wanachama wa CHADEMA hawaelewi kinachoendelea juu ya kesi ya Mdee lakini tulisema siku nyingi.

Hili jambo liligubikwa na changamoto nyingi, zikiwemo hali za kiuchumi baadaye, tamaa za fedha na madaraka, kuogopa binafsi, kushawishiwa (tabia ya asili ya wanawake kutongozwa na kukubali), vitisho, hali ya siasa kwa wakati huo n.k.
Hata wanaume wengi wa upinzani walikumbwa na hayo kabla ya uchaguzi na walionesha tabia hizo hizo na walipewa vyeo (sina hakika nao kama wana asili ya kutongozwa).
Kwa hiyo, katika kujadili hili, ni muhimu kuliangalia kwa mtazamo mpana.
 
Back
Top Bottom