Tathmini yangu kwa upinzani 2015-2020: Wapinzani mkipinga ukweli mnafeli,pongezeni utendaji kazi bora wa Rais Magufuli

May 3, 2019
53
144
TATHMINI YANGU KWA UPINZANI 2015-2020:WAPINZANI MKIPINGA UKWELI MNAFELI,PONGEZENI UTENDAJI KAZI BORA WA RAIS MAGUFULI.

Leo 13:15pm,06/06/2019.

Zitto Kabwe amekiri utendaji kazi bora wa Rais John Magufuli kwa kutamka kwa mdomo wake,hiki ndicho kilichotakiwa kufanywa na kila mpinzani wa Serikali toka 2015 hadi 2020 kwa sababu tunaye Kiongozi sahihi wa Taifa ambaye ni Ndugu John Magufuli.Nakupongeza Zitto Kabwe kwa kukiri kwa kinywa chako maneno haya yafuatayo,

"Serikali ya Awamu ya tano imekuwa thabiti katika utekelezaji wa miradi yake mikubwa,ni B+ ni thabiti haijayumba na imetenga na kuongeza fedha za bajeti kupeleka kwenye miradi hiyo bila kuyumba wala kugeuka kama awamu zilizopita,fedha inakosekana katika mzunguko kwa Wananchi kutokana na fedha kuelekezwa kwenye miradi mikubwa,Awamu hii imeamua sawa na kusema nitafeli hapa lakini nitatekeleza ujenzi wa miradi hii mikubwa,ni kitu kizuri sana" Zitto Kabwe.

Tunashukuru mwezi mtukufu kwa kumuokoa Zitto na kuwa kiumbe kipya,pengine umbea na ulongo ulongo umeshindwa sasa umeamua kuwa mkweli na ulongo ulongo kuwaachia wale wazee wa nongwa,

-Wapinzani mlitakiwa kufanya nini toka 2015-2020.

Siasa ambayo ni "Wito" ni ile yenye kupongeza mazuri na kutia moyo na kushinikiza kuendelea kutendwa mazuri hayo na sio kupinga hata mazuri yaliyotendwa na yanayotendwa na CCM chini ya Rais John Magufuli,Siasa ya biashara kama inayofanywa na Chadema ndiyo inaweza kupinga kila kitu lakini hii si sawa kwa kuwa Siasa ni "Wito" na watu sahihi ndio wataitikia muito wa ndani wa roho zao kwenda kufanya siasa,ila wale wanaofanya siasa biashara ndio leo tunawaita "Wazee wa Nongwa" kwa kuwa wao wanapinga kila kitu wakitegemea Wananchi wao watawaelewa kumbe mambo yamebadilika hii ni awamu ya tano,sio awamu ya nne au ya tatu,Awamu hii ya tano ,Taifa limepata Kiongozi mwenye "Wito" na sio bepari wala Mfanyabiashara,

Rais John Magufuli ni Mjamaa anayefanya mambo makubwa ya kibepari kama kujenga reli ya Umeme kwa fedha za kodi ya Wananchi bila kukopa,Rais John Magufuli ni Mjamaa anayejenga bwawa kubwa la Umeme la Rufiji (Stigglers Gorge) kwa faida ya Wananchi wote wa Tanzania,Rais John Magufuli ni Mjamaa anayefufua Mashirika ya Umma kama TTCL,ATCL kwa kununua ndege kubwa mpya saba ili kuitangaza Tanzania na kuleta Watalii Mlima Kilimanjaro na kwenye mbuga zetu za Serengeti,Ngorongoro,Manyara,Tarangike,Mikumi,Ruaha,Saadani na Katavi.

Sasa nini Wapinzani mlitakiwa kufanya katika Awamu hii ya tano chini ya Ndugu John Magufuli,

1-Siku ambayo iliundwa tume kuchunguza mchanga wa makinikia yaliyokuwa yanapelekwa Ulaya na madini yetu,Wapinzani mlitakiwa mtoe tamko la kuipongeza Serikali ya CCM ya Awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Magufuli.

Matokeo ya report ya Makinikia yalipotaja wizi mkubwa uliofanywa na makampuni yanayochimba madini,hata pale ilipotaja kuidai Acacia kodi ya trillion 400.Siku ile ile Wapinzani mngefanya maandamano ya kupongeza na kuwataka Acaccia kulipa hio hela iliyotajwa na hapo Watanzania wangeona tuna wapinzani Wazalendo wakiungana na CCM kupigania maslahi ya Taifa letu,lakini Tundu Lissu akatoa tamko la kuitisha Serikali kuwa itashtakiwa na Acacia na kushindwa kesi,Sasa Watanzania wakashangaa huyu anayeitisha Serikali kuwa itashtakiwa na Wazungu ni Mtanzania kweli !?

2-Siku ambayo Serikali ya CCM ya Awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Magufuli ilipotangaza vita dhidi ya Madawa ya kulevya nchini baada ya takwimu za Mwaka 2013 kuonyesha vijana waathirika ni sawa na nusu Jeshi letu hivyo kutoa tahadhari ya kupotea kwa nguvukazi ya Taifa,Wapinzani mlitakiwa mfanye maandamano ya kupongeza Serikali na kushinikiza kila muuza madawa ya kulevya akamatwe na pesa haramu iliyokuwa mtaani idhibitiwe lakini Wapinzani msio na maarifa mkaanza kulia na kupayuka kama vitoto vya kuku mara ooh fulani kaonewa,fulani ana beef na serikali,eti Makonda anataka sifa,ni hapo tu ndipo mlipojichanganya na sisi tusio na chama tukashangazwa inakuaje Upinzani hasa Chadema mambo waliyokuwa wakiyahubiri leo hii wamegeuka wamekuwa watetezi wa hayo mambo!?

3-Siku ambayo Serikali ilitangaza kujenga Mahakama ya Wahujumu Uchumi na Mafisadi,Wapinzani mlitakiwa kutoa tamko la kuunga mkono kwa kuwa ni hoja yenu inayofanyiwa kazi kwa vitendo ila badala yake mkaanza vijineno eti fisadi ni mtu gani,sheria zake ni zipi,watafungwa wapi,wako wapi hao Mafisadi,hii inasikitisha sana ndugu zangu Wapinzani kwa kuua juhudi hizi za kupinga Ufisadi hapa nchini.

Wapinzani mlitakiwa muandamane kuunga mkono na kushinikiza majina yenu ya Mwembe Yanga yafanyiwe kazi na wale aliowataja Dr Slaa wakamatwe na kushtakiwa kwa Ufisadi badala yake mnaipinga Serikali!? Tundu Lissu si wewe uliyejitapa kuiandika orodha ya Mwembe Yanga kwa mkono wako kama Mwanasheria na kumpa Dr Wilbroad Slaa aisome pale Mwembe Yanga,leo mnapinga juhudi za Serikali ya CCM ya Awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli kuwatumbua na kuwashtaki Mafisadi,Tundu Lissu leo wewe ni wa kusema Serikali inaonea watu kwa kuwashtaki Mafisadi ,leo hii Tundu Lissu wewe ni wa kutetea wizi uliofanywa na makampuni ya madini kwa miaka kenda,Hivi ni mtu gani wewe Tundu Lissu,hivi ni watu gani ninyi Wapinzani!?

4-Wapinzani mlipaswa kupongezwa kuandamana na kupongeza ujenzi wa ukuta wa Mererani,kujengwa kwa vituo vya Serikali vya kuuza madini ambayo daima yalikuwa yanatoroshwa nje ya nchi kwa kukosa vituo vya kuuzia hapa nchini.

Wapinzani mlipaswa kuandamana kuipongeza Serikali kwa kupeleka bungeni marekebisho ya sheria ya madini ambayo ilitungwa kulinyonya Taifa na sio kusaidia Taifa.Wapinzani mlitakiwa muandamane kuipongeza Serikali kwa kuongeza mapato yanayotokana na Madini na kuvunja rekodi ya dunia,Wapinzani mlipaswa kuandamana kupongeza udhibiti wa madini uliofanywa kulinufaisha Taifa,hata waliokuwa wanajifanya wanauza madini kuanza kuuza madini feki baada ya kukosa madini original toka Tanzania,Wapinzani mmekuwa watu wa namna gani ninyi kupinga kila kitu!?

5-Siku ile Rais Magufuli aliposema Serikali ikiamua inaweza kubadili noti ya Tanzania,ili kukomesha pesa haramu iliyokuwa imefichwa na wahujumu uchumi,Siku ile Wapinzani mlipaswa kuandamana kushinikiza Rais Magufuli aweze kufanya hilo,Wapinzani mlitakiwa ndio mchochee,muanzishe maandamano ya kupongeza na kumtaka Rais awaishe Jambo hilo atekeleze haraka badala yake mlianza vijembe ila cha ajabu jana Rais wa Kenya katangaza kuifuta noti yake mnashangilia eti anajali uchumi wa nchi yake.

Ndugu zangu Wapinzani kama mkiunga mkono na mazuri yamafanywa na Serikali hii ya Awamu ya tano ambayo ni Serikali tendaji kwa zaidi ya Asilimia 80% basi ingekuwa ni credit kwenu ya kisiasa na kama yote mliyoyaunga mkono yangetimizwa ingekuwa nii faida kwetu maa Taifa.

Kwa Awamu mbili zilizopita kupinga ndio ilikua dawa yenu Wapinzani kuendelea kukubalika katika medani ya siasa ya wakati huo,Wapinzani mtambue ya kwamba zama zimebadilika na Sasa Taifa lina kiongozi ambaye Wananchi walimuhitaji kila ninyi Wapinzani mlipoipinga Serikali ya CCM,Kiongozi wa ndoto za Wananchi kwa miongo miwili iliyopita ndiye wamempata sasa nae ni Ndugu John Magufuli,Simsifii ila rekodi yake ya Utendaji kazi ndiyo i ayomfanya kuwa ndiye yule Wananchi waliomuhitaji na kumsubiria kwa muda mrefu,Ndugu John Magufuli ameyafanyia kazi malalamiko ya Wapi zani kwa asilimia 90% sasa ni ajabu sana ninyi Wapinzani mnavyompinga na kupinga hadi vitu mlivyokua mnataka vishughulikiwe katika Awamu ya tatu na ya nne, hapo ndio hadi wananchi wamebaki kujiuliza hawa upinzani wanataka nini sasa kama si kutupotezea muda!?

Sasa Wapinzani mmeanza kuwapa shaka Wananchi kuwa pengine wahusika wa Ufisadi mliokuwa mnaupigia kelele na uhalifu ni ninyi ama jamaa zenu,ndio maana Serikali ikishughulika nao mnapata kigugumizi kusapoti na kuiunga mkono Serikali.

Ndugu zangu wa Upinzani,Zama za kudhani ili uwe mpinzani ni kupinga kila jambo linalofanywa na Serikali,Zama hizo ziliisha Serikali ya CCM ya Awamu ya nne, Awamu hii ya tano,Mafisadi wanafungwa,sasa ninyi Wapinzani mtu akiwa jambazi , mbadhirifu wa mali ya umma, mlanguzi na muuzaji wa madawa ya kulevya na wote wanaotenda maovu kuwatetea pale Serikali inapowakamata inaonyesha ninyi Wapinzani hamna nia njema,toka lini fisadi na mwizi wa Mali ya Umma akashangiliwa na kutetewa na wapinzani eti hao ni watu wazuri ila Serikali inawaonea au kwa kuwa wanawasapoti wapinzani. Ndugu zangu Wapinzani,Tanzania ni Taifa letu sote,Tafadhali tuungane pale Serikali yenye nia njema inapopigania maslahi ya Taifa toka kwa Mafisadi,Mabeberu,Mabepari,Mabwenyewe,Walanguzi na Wezi wa Mali ya Umma.

Ahsante Mwenyezi Mungu kwa kuibariki Tanzania,tupe neema ya kutumia vyema baraka hizo kwa manufaa ya Taifa letu la Tanzania na watu wake.Amina.

Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854.
 
Sikuwahi kudhani kuwa kuna baadhi ya watu akiwemo wewe vichwa vyao huwa kama ni kifaa cha kubebea meno. Andiko lako limethibitisha hilo. Kazi ya mpinzani sio kusifia, ni kukosoa anaesifiwa ni Mungu pekee
 
Praise team at work. Kusifia, kuunga mkono, kuzomea, kujikomba, unafiki, ujinga na upambe nuksi ndio mpango wao mzima. Hii nchi imeshazamishwa tunasubiri tangazo la kifo.
 
Kwaio hadi kupongezwa napo watu wanalazimisha sifa zingine ni za kijinga
 
Unadhani watu watasoma badiko lote hilo? Andika kidogo Tu utaeleweka.
 
Naunga mkono hoja, kwa tathmini yangu ya awali ya uchaguzi mkuu wa 2020, kama Zitto asiposimama kama mgombea urais wa upinzani, then, Zitto ndio mbunge pekee wa upinzani atakayerejea bungeni.

Bunge la 2020 ni CCM and CCM only.

P
 
Mimi hawa hamaa huwaga siwaiti wapinzani. Nawaita genge la wahuni. Wamekusanyika na kuhubiri uhuni tu. CCM ilifanya makosa ila kwa sasa wanarekebisha makosa yao. Muhuni ni muhuni tu hawezi sifia mazuri
 
Mku hats Peter Serukamba kaliona hili na ndo tujue hatuna cha kuongea ktk nyakati kama huku ndani kwetu wanaona tayari wameshanza kutoa kauli juu ya hali halisi ya Nchi tuna lipi jipya mbele ya wanaharakati wenye hoja zenye mashiko zisizo na chembe ya uongo.
 
Mimi hawa hamaa huwaga siwaiti wapinzani. Nawaita genge la wahuni. Wamekusanyika na kuhubiri uhuni tu. CCM ilifanya makosa ila kwa sasa wanarekebisha makosa yao. Muhuni ni muhuni tu hawezi sifia mazuri

Bila upinzani ingeendelea kutopea kwenye makosa,
 
Kazi ya upinzani ni kuonyesha mapungufu ili yafanyiwe kazi.Ungesoma somo La uraia ungefahamu importance of multipatism.
 
Kwani wapinzani wakipinga kila kitu shida iko wapi? kodi hazikusanywi? wamekataa kulipa kodi? wamezuia barabara kujengwa? wamezuia wanafunzi kwenda shule? wamezuia dawa kwenda mahospitalini? Hii dhana ya "serikali yenye nia njema" ni kwa mapokeo yako tu, wengine tuna mitazamo tofauti kabisa na hiyo nia njema!
 
Chema chajiuza kibaya chajitembeza ,Mbona mnahangaika sana kumpamba asiyepambika ,kama amefanya vizuri watu watamsifia tu sio mpaka wewe uwaambie ,mpaka unayetaka asifiwe ana massive failure katika uongozi wake .
 
Mimi nili nascrow tu kushangaa huyu jamaa anapata wapi muda wa kuandika ujinga huu

Back
Top Bottom