KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,590
- 4,601
Majina tajwa si mageni, ni majina ya viongozi wakuu wa CCM. Nikiri kusema kila nikiwaona viongozi hao, Tanzania inaona tumaini la uongozi bora si tu ndani ya CCM bali hata serikalini. Ni moja ya viongozi ambao maadili na uzalendo wao ni wa kiwango kisichoelezeka. Viongozi hao wamepanda mbegu nzuri sana inayoitwa CCM mpya, mbegu hiyo ikimea itatoa matunda bora si tu kwa CCM bali kwa serikali nan chi kwa ujumla.
Utatu huo ni tumaini la Tanzania katika kuandaa viongozi wenye maadili na uzalendo. CCM ya viongozi hao ni mwanga wa Tanzania gizani. Kupitia viongozi hao CCM na Tanzania zinajifunza mengi sana. Watu kutoka mashariki, kusini, magharibi na kaskazini wanafurahi uwepo wa viongozi hao na kusema tumaini la kesho la Tanzania lipo CCM, tuna Imani na utatu huo.
Lakini licha ya kwamba utatu huo ni tumaini la kesho la Tanzania lakini ni mwiba mchungu kwa upinzani. Siasa za viongozi hao zinaiogopesha upinzani. Ni viongozi walioiva kinadharia hadi kivitendo kuhusu siasa na uongozi bora. Na hilo ndilo linafanya upinzani utishike, kutetemeka na kuogopa kila viongozi hao wanatia neon juu ya siasa na uongozi.