Dr Kigwangala amesema wakati wote alipokuwa Waziri alikuwa analindwa na Walinzi kutoka Ikulu na hakuruhusiwa kutembea peke yake
Kigwangala amesema ni makosa mawaziri kutokea Kwenye Ripoti ya CAG...
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) Mkoa wa Kilimanjaro na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa, Grace Kiwelu ameeleza mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan namna viongozi wa baraza hilo...
Ukweli lazima usemwe Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Tukirudi nyuma wakati mama yetu anaingia bila shaka alianza vizuri sana ila alianza kwenda mrama baada ya kuingizwa kingi kwenye tukio...
Bila kusahau hii itakuwa ni mara ya pili kwa upinzani kwenda ikulu kuonana na raisi kwajili ya maswala haya haya ya katiba.
Wakaambulia zarau na kejeli toka katika chama anachokiongoza raisi...
Kwa muda mrefu sasa tangu vikao vya viongozi wakuu wa CCM na CHADEMA wameanza mazungumzo ambayo leo yamezaa matunda ya angalau Viongozi Wakuu wa Upinzani na Viongozi Wakuu wa CCM kukutana kwenye...
Kuunga Juhudi Ilikuwa Wapinzani hasa kutoka CHADEMA wanajisajili kwa komredi Polepole na kuhamishiwa CCM ambako walipewa Vyeo na zawadi nyingine.
Maridhiano ndio kama Mbowe, Zitto Kabwe, Tundu...
Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo...
Leo Chadema wanaanza mikutano yao ya kisiasa Jijini Mwanza ambapo ndio kitovu cha kanda ya Ziwa,takwimu za sensa kwa namba zinaitaja Mwanza kama mkoa wenye watu wengi kuliko mikoa yote,Mwanza...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amemsihi Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amuepuke Mtu yoyote anayejiita Chawa wake kwakuwa Machawa wengi wamejaa unafiki na uongo na hawana nia njema...
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, ambaye pia ni Rais wa Mbeya, kibopa Joseph Mbilinyi, bila kumung'unya maneno, amewakandia wafanyabiashara wa Iringa kwa kujipendekeza CCM, huku akidai jambo hilo...
Anaandika Mo Mlimwengu.
Muleba my mother land, Muleba ni nyumbani na Muleba ni mahali ambapo kitovu changu kilizikwa baada ya kuzaliwa. Wahenga wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni...
Kuanzia kwenye hoja na ku connect na wafanyabiashara Lema huwezi kumlinganisha kabisa na Gambo. Uwezo wa kujenga hoja za Arusha na kitaifa ni muhimu sana kwa Arusha.
Sababu kubwa Arusha...
MBUNGE WA WAFANYAKAZI MHE. JANEJELLY NTATE AZUNGUMZA NA WATUMISHI OFISI YA RAS (KATIBU TAWALA MKOA) DAR ES SALAAM
Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Taifa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2010 kama niko sahihi, Jimbo Arusha mjini lilikumbwa na kumezwa na usemi "Wao wanapesa sisi tuna Mungu". Usemi huu dhahiri ukaja kutumika kufanya kampeni ya kijana mmoja...
Katika nchi zote za Afrika Mashariki zinazoizunguka Tanzania kwa sasa wapinzani wa serikali wanapitishwa katika kikaangio cha moto mkali na tawala zao. Serikali zililizopo madarakani zinawaminya...
Huo ndio ukweli usiopingika. Chadema sasa wamejirasmisha ni CCM B. Maneno haya yalifamkwa na Mzee Mwinyi mwaka 1995 leo yanatimia kwa macho ya watanzania.
Act wazalendo wanazidi kupaa na kupaa na...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo 5/3/2023, muda huu kinaungurumisha Mkutano wa hadhara huko Karatu, Vijana Wapambanaji ndio wanakinukisha Jukwaani wakisaidiwa...
Media mbalimbali za kimataifa zipo mjini Moshi kuripoti Kongamano la BAWACHA ambalo mgeni rasmi atakuwa mh Rais Samia
Miongoni mwa media Hizo ni RT, DW, BBC, Sky news, Citizen tv nk
Kongamano...
Hawa ni maaskofu wawili wa Anglikana, mmoja mstaafu na pia amewahi kuwa kiongozi wa Anglikana Tanzania. Huyu ni Askofu Donald Mtetemela na sasa ni mjumbe wa bunge maalumu la katiba. Askofu...
Shule ya msingi kwa lugha nyIngine tungeiita Foundation school.Tunaweka msingi kweli.
Kama lugha ya kufundishia sekondari ni Kiingereza sioni sababu kwa nini lugha ya kufundishia shule ya msingi...