Watu wenye Akili tunajua kuwa siasa za Tanzania ni ubabaishaji mtupu.
Miaka 60 hamna Jambo la maana mmefanya zaidi ya wizi wa rasilimali zetu.
Kila siku mnabatiza watu majina mara wanyonge bla...
Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM.
Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi...
Ndugu zangu Diaspora tunapopigania uraia Pacha tuwe japo na data zakuonyesha mchango wetu kwenye uchumi WA Tanzania. Tuamue SASA kulazimisha remittance zisomeke kwenye vitabu vya hesabu, tukubali...
Mama, ulisema kuwa viatu vya JPM havikutoshi, na hata Watanzania wameshaona hivyo kuwa havikutoshi kweli kweli.
Lakini pamoja na hayo, naomba angalau ujaribu kufuata nyayo zake kwa baadhi ya...
Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam, imehifadhi magari 6 yaliyotumiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, wakati wa uhai wake, likiwemo gari ambalo lilitumika katika awamu tatu za uongozi...
Askofu Gwajima amesema dunia ina mambo yake na utaratibu wake wa kufikia malengo na usipokuwa na akili basi utapata tabu sana.
Askofu Gwajima amesema vita ya kwanza ya dunia iliyoua watu zaidi ya...
MHESHIMIWA RAIS SASA NI MUDA WA KUWAKUMBUKA WATUMISHI WA UMMA KATIKA TEUZI ZA MA-DED, MA-DAS na Wakuu wa Taasisi za Umma
1. Tunatambua nguzo kuu mbili katika utendaji wa serikali. Ya kwanza ni...
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza Rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇
"Kwa hiyo mdogo wangu...
Nimekuwa nikisikia hili jina kitambo Sasa. Najua hili jukwaa la Siasa.
Kwanini CCM wanaitwa MATAGA?
Binafsi sifurahishwi na hili jina, japo sijui maana halisi.
Kusimamia Haki kunalipa, kusimama na wanaoonewa kunalipa na siku zote wananchi awafundishwi kuchagua jema na baya Bali wanalazimishwa kuchagua wasichokitaka.
Majimbo mengi ambayo wagombea Ubunge...
Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai.
Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi...
Ukisikia kiongozi anaitwa Dikteta ujue ameminyia makanjanja wa nchi ulaji.
Makanjanja wa nchi wanataka na wao wapate kula, wafaidi mema ya nchi hivyo humsema kiongozi dikteta kwa sababu...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ameishauri selikali kufuta mabweni kwenye shule zote za Msingi Sekondari na high school ili watoto walelewe kimaadili na Wazazi wao...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Comrade Juma Zuberi Homera amewataka makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa na Songwe kushirikiana katika kuzuia na kudhibiti...
MBUNGE MHE. HUSNA SEKIBOKO AGAWA MITUNGI YA GESI KIJIJI CHA LUKOZI, LUSHOTO-TANGA
Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Tanga, Mhe. Husna Juma Sekiboko tarehe 11 Machi, 2023 alifanya ziara katika...
Tanzania chini ya CCM imeshindwa kabisa kukibadilisha kilimo cha wananchi wake. Nakiri kusema toka imepata uhuru wake mwaka 1961 imekuwa na wakulima wadogo wadogo wanaolima kwa kutumia jembe la...
WABUNGE 35 KWENYE MAFUNZO YA APSEZ NCHINI INDIA
Wabunge 35 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kamati mbalimbali za Bunge hilo wapo katika ziara ya mafunzo Nchini India, kujifunza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali...
Makamu wa Rais na Waziri mkuu mstaafu mzee Sinde Warioba amesema mzee Mwinyi alipoingia madarakani kama Rais mwaka 1985 na yeye kuwa msaidizi wake walikuta nchi haina kabisa akiba ya fedha za...
Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa, nikupongeze pia kwa kuimudu vema wizara yako kwani unamsaidia vema mh Rais wetu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli.
Niende sasa kwenye mada yangu...