Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Freeman Mbowe, ambaye imethibitishwa kwamba ni Mwamba wa siasa Nchini Tanzania na kiongozi anayetajwa kama Mwanasiasa wa kupigiwa mfano Barani Africa na...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Naomba mwenye uelewa anieleweshe hii kitaalam inamaanisha nini? Kikao na Rais - Moshi Maandamano - Mwanza Chadema mipango yao hii vipi mwaionaje.
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu ametunukiwa nishani ya Heshima ya nchi ya Afrika ya Kusini (National order of South Africa) na Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Najua siku Hizi kuna Uchumi Kilimo na Kilimo Biashara Naomba kujua Serikali inaweza kutumia mbinu gani ili kuziridhisha pande zote mbili kwenye mzunguko wa Kilimo yaani Mkulima na Mlaji...
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Huwa nikitizama hii picha ya Lissu huwa natokwa na machozi kuna watu makatili sana hapa duniani[emoji24][emoji24] Hivi unaweza kumfanyia binadamu mwenzio hivi kweli? Kuna watu wana roho mbaya...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
KAMATI YA MIUNDOMBINU YAHIMIZA NGUVU ZAIDI TAASISI YA TEKNOLOJIA YA UJENZI - ICoT Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiagiza Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, kuongeza nguvu kwenye Taasisi ya...
1 Reactions
1 Replies
658 Views
Nakumbuka wakati wa Hayati Magufuli hata hapa mtandaoni kulikuwepo na watu ambao walikuwa wanapongeza hata mambo mabaya. Wadau wengine walikuwa hata wakisema watu wanaopinga serikali wanajiteka...
2 Reactions
4 Replies
870 Views
Habari za Jumapili. Wakuu mimi ni miongozi mwa watu ninaopenda wachapa kazi, mahiri, weledi na wanaojituma hasa kwenye professional zao. Jana nikipitia video clip mbali mbali zilizosambaa kuhusu...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Thomas Sankara wa Bukinabe ambaye leo hii mabaki yake yamezikwa upya kwa heshima ya kijeshi ni kiongozi bora kuwahi kupatikana barani Afrika. Alifanya makubwa kwa taifa lake. Alipigania maslahi ya...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakuu hebu nijuzeni kwanini Wapemba waliowengi hawataki kabisa kusikia jina la Rais wa awamu ya tano ya Zanzibar, Rais Mstaafu Salmin Amour? Ni jambo gani haswa Salmin Amour aliwafanyia hawa...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
Matarajio ya watanzania wengi, haswa waliounganishwa katika gridi ya Taifa ilikuwa ni kusahau kabisa adha ya mgao wa umeme, Baada ya kujengwa kwa bomba la gesi kutoka Mtwara Dar es Salaam...
15 Reactions
38 Replies
4K Views
CHARLES JAMES SHANKLY MIAKA miwili. Yes miaka miwili ya Mwanamke na Mama ambaye ameibeba Tanzania katika mazingira magumu na kuivusha. Miaka miwili ya kunyooshewa kidole na wahafidhina lakini...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati hayati Magufuli anataka kuanza ujenzi wa bwawa la Nyerere yaliibuka makundi mbalimbli kupinga ule ujenzi. Waliibuka watu wa mazingira, Waliibuka watu za haki za wanyama, Waliibuka watu...
19 Reactions
68 Replies
5K Views
DKT. SAMIZI AFANYA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 3 UJENZI WA NYUMBA YA MGANGA WA KITUO CHA AFYA. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amefanya...
0 Reactions
5 Replies
726 Views
Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Matle Iranqhe amempongeza na kumshukuru Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geoffrey Pinda kufuatia maelekezo yake aliyoyatoa kuwa Ujenzi wa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu wadanganyika naomba kufahamu mwenye connection na mtaalam wa marope sababu naona accuracy yake ni 99.9%. Akiongea na boss jua boss hachomoi. Sasa bandugu na mimi nina boss wangu nataka...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Kiongozi wa Chama ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema pindi stakapofariki Addo Shaibu ndiye atakayerithi mikoba yake Kwa sasa Addo ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo. Chanzo: Mwanahalisi Digital
3 Reactions
62 Replies
4K Views
Katika mchakato wa maridhiano baina ya CCM na CHADEMA Mbowe ameonekana kujipa nafasi ya usemaji, ameitumia, ameitumia sana, ameitumia sana kiasi cha kuanza kukokesea. Mfano mzuri ni pale...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewaagiza Wakandarasi kutoka kampuni ya Luba, MUST na Ardhi ambao waligomea wito wake wa kufika katika eneo la mradi wa ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…