Kwanini CHADEMA mkutano wa kumualika Rais wamefanyia Moshi ila maandamano waliyafanyia Mwanza?

Naomba mwenye uelewa anieleweshe hii kitaalam inamaanisha nini?

Kikao na Rais - Moshi
Maandamano - Mwanza

Chadema mipango yao hii vipi mwaionaje.
Mwanza bado hawajajitambua mkuu ,kule ukiwambia waandamane hata usiku wa manane watafanya hivyo
 
Back
Top Bottom