Mnyika: 17/3/2021 Mungu alifungua Ukurasa mpya kwa Nchi Yetu lakini bado hatujapata Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Tusaidiane!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Katibu mkuu wa Chadema Mh John Mnyika amesema 17/3/2023 Mwenyezi Mungu alifungua Ukurasa mpya kwa Nchi Yetu lakini bado hatujapata Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi hivyo ni lazima Wananchi waungane kuvidai.

Mnyika amesema haya katika Kumbukizi la Shujaa Magufuli kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Sabato Njema!
 
Chadema wanapambana na JPM, jamaa hayupo na walivyo wajinga wanahisi kwamba ndo anajibu comments zao!!!,kila siku wanaamka na mapya juu ya jamaa.

Kwakweli Mama Janeth anatakiwa kupewa heko za kutosha yeye na familia yake.
 
Ugomvi wa nani na nani?
Ungonvi wa makatili mauaji na raia wema wenye akili na mawazo mbadala, lile bweha nyapara la wauaji lilivyofyekelewa mbali chawa wake waliokuwa wakilifanyia kazi huku wakilambishwa asali wote wamekatwa mikia. Ugonvi ndiyo umeamuliwa kinamna hiyo.
 
Ungonvi wa makatili mauaji na raia wema wenye akili na mawazo mbadala

Unaonekana una hasira kali za kufukuzwa kazi kwa KOSA LA VYETI FEKI.

Kasomeni jamanii, Magufuli hakukutuma UKAWE JIZI LA VYETI

Mwenzako nina MASTERS na ninatarajia kuongeza degree ya tatu mwakani. Kusoma raha.

Ukiwa mburulaaz kwanza hujiamini unakuwa mtu wa kufoka tu na kukimbilia kujichanja viwembe kwa hasira.

Soma uwe SMART na sio MBURULAZ.ZZZ
 
Chadema wanapambana na JPM,jamaa hayupo na walivyo wajinga wanahisi kwamba ndo anajibu comments zao!!!,kila siku wanaamka na mapya juu ya jamaa.
Kwakweli Mama Janeth anatakiwa kupewa heko za kutosha yeye na familia yake.
Mama Janet amenenepa, kweli lile nduli lilikuwa likimtesa sana. Zamani hatukuwa tukiona tabasamu lake lililo na bashasha kama tunavyoona sasa.
 
Ungonvi wa makatili mauaji na raia wema wenye akili na mawazo mbadala, lile bweha nyapara la wauaji lilivyofyekelewa mbali chawa wake waliokuwa wakilifanyia kazi huku wakilambishwa asali wote wamekatwa mikia. Ugonvi ndiyo umeamuliwa kinamna hiyo.
Mzee na wewe uliukalia?,JPM kaacha kawachana kinoma.Poleni kuleni Dclopa kama bado unasikia maumivu.
 
Unaonekana una hasira kali za kufukuzwa kazi kwa KOSA LA VYETI FEKI.

Kasomeni jamanii, Magufuli hakukutuma UKAWE JIZI LA VYETI

Mwenzako nina MASTERS na natarajia kuongeza degree ya tatu mwakani. Kusoma raha.

Ukiwa mburulaaz kwanza hujiamini unakuwa mtu wa kufoka tu na kukimbilia kujichanja viwembe kwa hasira.

SOMA UWE SMART na sio MBURULAZ.
Kwanza siishi Tanzania na pili familia nitokayo hatutegemei ajira, kazi kwako ambaye ukikosa ajira unachanganyikiwa. Yule mbwa alikuwa anaua private sector lakini sasa furaha imerudi and everyone is happy.
-Cheti chake(Jiwe) feki kilisababisha akamuua Ben Saanane.
-Mmiliki mwingine wa cheti feki ni Makonda, is he Makonda or Bashite? What the damn hell is his real identity? Yaani vyeti feki mpaka kutumia majina ya watu wengine.
 
Back
Top Bottom