Nijaribu kufikiria hotuba ya Hayati Mkapa kwenye msiba wa Hayati Magufuli vile ingekuwa!

Pendaelli

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
8,920
23,246
Tupo kwenye kumbukizi ya mwaka wa pili tokea kufariki kwa Rais Magufuli, tunaendelea kumtakia pumziko jema la milele.

Kabla ya kufariki kwake Magufuli kulitanguliwa na kifo cha aliekuwa rais wa Tanzania mkapa , amabe kwa mtazamo wa haraka haraka walikua wanashabihiana kwenye baadhi ya falsafa zao za uongozi.

Lakini pia Mkapa ndie aliemuibua Magufuli na tunaweza kusema kwa kiasi fulani kulikuwa na strong bond baina yao.

Lakini pia inasemekana kwa nguvu ya ushawishi kwenye chama mkapa alichangia kwa kiasi kikubwa Magufuli kupata nafasi ya kugombea uraisi kwenye chama chao.

Tulipotangaziwa kifo cha mkapa na rais Magufuli tuliona bila ya shaka ni kifo kilicho muuma sana Magufuli kiasi mpaka aliweza kulia hadharani kati kati ya hotuba yake wakati wa maziko ya mkapa.

Ni ishara wazi Magufuli aliumia sana kwa kifo cha mkapa lakini kwa vile ni nature ya kila kiumbe kuwa leo kipo na kesho hakita kuwepo basi alikubali imekuwa ikawa.

Si muda sana Magufuli nae alifariki na hatimae alifanyiwa maziko kama tulivyo ona.

Kwenye msiba na maziko yake Magufuli tulisikia hotuba nyingi za viongozi wakuu na marais wa nchi nyingine na marais wastaafu wa nchi yetu.

Kwenye hotuba za marais wetu wastaafu zilikua za kawaida sana na zenye baadhi maudhui ya vichekesho mipasho .

Ndipo liliponijia wazo kama ingekuwa kinyume na yaliyotokea kwamba Magufuli angemtangulia Mkapa hotuba yake Mkapa kwenye msiba wa Magufuli Inge kuwa ya namna gani?

Wote na wengine waendelee kupumzika kwa amani.
COq_flRW8AAp7hS.jpg
CPUcsoRWEAAHAI8.jpg

mkapaaaaaa.jpg
_113684602_magufulianalia.jpg

DSC2178AA-768x503.jpg
 
"Nikikushauri usitumie umimi kwenye Serikali Yako,hii ni Serikali ya CCM siyo ya mtu binafsi
Nilikushauri usiklilize ushauri lakini wewe ulipinga,nadhani mnaona kilichomkuta huyu mwenzetu.
Asiyesikia la mkuu.....!?"
 
Usichokijuwa ni kwamba B W Mkapa alikuwa anajuta sana kuunga mkono CC ya CCM kumpotisha Magufuli kuwa MGOMBEA na hatimaye Rais wa Tanzania. Walifika mahali Mkapa alikuwa fed up na namna Magufuli alivyokuwa anavuruga nchi kwenye maeneo ya Demokrasia, utawala wa sheria na kuteka wakosoaji.

Kama wewe ni mtu unayefuatilia mambo, nenda ukasome kile kutabu cha Mkapa alichozindua mwaka 2019, My Life, My Purpose. Anapoongelea Tume Huru ya uchaguzi ni kwamba anasikitika kwa nini walim back Magufuli
 
Usichokijuwa ni kwamba B W Mkapa alikuwa anajuta sana kuunga mkono CC ya CCM kumpotisha Magufuli kuwa MGOMBEA na hatimaye Rais wa Tanzania. Walifika mahali Mkapa alikuwa fed up na namna Magufuli alivyokuwa anavuruga nchi kwenye maeneo ya Demokrasia, utawala wa sheria na kuteka wakosoaji.

Kama wewe ni mtu unayefuatilia mambo, nenda ukasome kile kutabu cha Mkapa alichozindua mwaka 2019, My Life, My Story. Anapoongelea Tume Huru ya uchaguzi ni kwamba anasikitika kwa nini walim back Magufuli
Ninahisi hata kifo Cha Mkapa Kuna mkono wa Serikali ya awamu ya tano
 
Usichokijuwa ni kwamba B W Mkapa alikuwa anajuta sana kuunga mkono CC ya CCM kumpotisha Magufuli kuwa MGOMBEA na hatimaye Rais wa Tanzania. Walifika mahali Mkapa alikuwa fed up na namna Magufuli alivyokuwa anavuruga nchi kwenye maeneo ya Demokrasia, utawala wa sheria na kuteka wakosoaji.

Kama wewe ni mtu unayefuatilia mambo, nenda ukasome kile kutabu cha Mkapa alichozindua mwaka 2019, My Life, My Story. Anapoongelea Tume Huru ya uchaguzi ni kwamba anasikitika kwa nini walim back Magufuli
Umeandika mavi,muulize Jakaya jinsi alivyokuwa anateseka mahusiano ya Mkapa na askari wake wa mwanvuli,

Wewe ni kindergarten kwenye siasa hapa nchini
 
Usichokijuwa ni kwamba B W Mkapa alikuwa anajuta sana kuunga mkono CC ya CCM kumpotisha Magufuli kuwa MGOMBEA na hatimaye Rais wa Tanzania. Walifika mahali Mkapa alikuwa fed up na namna Magufuli alivyokuwa anavuruga nchi kwenye maeneo ya Demokrasia, utawala wa sheria na kuteka wakosoaji.

Kama wewe ni mtu unayefuatilia mambo, nenda ukasome kile kutabu cha Mkapa alichozindua mwaka 2019, My Life, My Story. Anapoongelea Tume Huru ya uchaguzi ni kwamba anasikitika kwa nini walim back Magufuli
Nimefuatilia na kitabu nimesoma lakini kila nikioanisha na hoja yako hii havilingani.
 
Back
Top Bottom