Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,606
- 29,755
EWURA ni jipu la Taifa, ikulu iliangalie hili kwa jicho la kuwajali wananchi
TANESCO inatumika kisiasa, na hili limefanikisha wananchi kukosa imani na serikali.
Polisi imeshapoteza uadilifu wake. Sheria na muundo wake vibadilishwe kwani ushshidi ni mwingi wa maovu yanayofanywa na polisi kuliko mema
Huko TAMISEMI kuna mengi, wananchi wanataka kuona CAG anajumuisha kwenye ukaguzi wake zile 20% funds zinazorudishwa kwenye jamii kuchochea maendeleo ambazo ni tofauti na 10% za mikopo
JWTZ wapewe task ya ubunifu wa kisayansi ili kuendana na kasi ya ukuaji wa ulinzi na teknolojia
TISS ideal na usalama wa ndani. Iundwe taasisi ya ujasusi wa nje itakayoshughulika na matishio yote kutoka nje na kusaidia wawekezaji wa ndani wanaowekeza nje ya nchi
Rais asiwe 50% ya Bunge. Bunge lisimame kama mhimili kama katiba inavyoamrisha
TURUDI KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 2 YA SSH
Hakuna shaka kwamba hizi sherehe zimeandaliwa mahususi kujaribu kutuhadaa wananchi kuwa anayoyafanya Rais hayakuwa majukumu yake bali ametufanyia fadhila kutekeleza wajibu wake wa kuleta maendeleo nchini.
Maadhimisho haya yanadhihirisha kuwa, yeye na mtangulizi wake hawakuwa page moja kwani alikacha kwenye kwenye kumbukumbu ya miaka 2 tangu afariki na serikali ikaweka tukio la kufunika kumbukizi ya kifo cha JPM bali sasa serikali nzima kwa uzito wake inaenda kushiriki kumbukumbu ya kuapishwa Rais mpya. Ni mara ya kwanza kuona kila mwaka kunakuwa na sherehe ya kumbukumbu ya kuapishwa rais mpya.
Kwa wanagenzi wa siasa nchini, hii shughuli ni wazi imeandaliwa kwa minajili ya wajanja kupiga hela za ummana pia kuendeleza project ya kufuta kumbukumbu za JPM.
Mama yangu. Samia nakuombea jwa Mungu akupe macho ya kuona namna wanavyokuangusha hao wasaidizi wako unaowatumainia.
LISEMWALO HALIPO, KAMA LIPO LAJA