Habari wana bodi
Kwa siku kadhaa sasa kumekua na hali ya taharuki miongoni mwa watanzania hasa baada ya MCC kisitisha msaada wa zaidi ya trillion moja za kitanzania kwa serikali kutokana na kile walichokiita wao.
-Ukiukwaji wa demokrasia kule visiwani zanzibar ambayo imetosha kuwa na disqualification ya tanzania kwny misaada hyo
-Pili ni suala la sheria ya makosa ya mtandao (cyber crime act 2015)
Maswali ambayo wengi wetu wamekua wakijiuliza ni
Je nini matarajio ya bajeti yetu ya 2015/16..???
je mahusiano yetu kidiplomasia na nchi wahisani yakoje kwa sasa
Pamoja na masuala kadha wa kadha
Basi nikaona ni vema niliweke sawa hili la budgeti kwa mujibu wa ninachojua mimi kuhusu bajeti ya nchi hii
Kwanza ni vema tukajua wadau wakubwa wa bajeti yetu ni akina nani?
Pili ni ipi nafasi ya wahisani hususani Marekani katika bajeti yetu
Ni vipi vyanzo mahususi vya mapato ya bajeti yetu then tuje na suala hasa la nafasi ya Misaada ya MCC katika bajeti yetu ya 2016/17
WADAU WA BAJETI NI NANI
___________________________
1-Mamlaka ya Mapato Tanzania
2-Raisi na baraza la mawaziri
3-Wizara ya fedha
4-Bunge la JMT
5-Sekta Binafsi
6-Wahisani
Hawa ndo wadau wakubwa wa mchakato wa bajeti
Sasa tuangalie no wapi haswa mapato yanayotengeneza bajeti hupatikana
1-Makusanyo ya ndani (Domestic revenues)
Haya hujumuisha Mapato ya kodi na yale yasiyohusisha kodi yaan Non tax revenue na hiki ndio chanzo kikuu cha bajeti ya taifa hili ambacho huchangia zaidi ya 50% na haya ni yale amabayo husimamiwa na Central gvt huku mamlaka ya mapato ikiwa ndo mratibu mkuu wa makusanyo haya
2-LGAs own sources
Haya ni makusanyo ambayo husimamiwa na serikali za mitaa kupitia vyanzo vyake mbali mbali vya mapato na chanzo hiki ni cha pili ktk kuchangia bajeti ya taifa
3-General Budget support (GBS)
Hii huwa ni support fulani ambayo hutolewa na mataifa rafiki lakin kwa mchango wa pamoja au kwa kutumia mwamvuli wa pamoja i.e (EU),n.k hii huwa na mchango pia katika bajeti
4-Domestic borrowing
Hii ni mikopo ambayo serikali hukopa kwa wadau wa ndani ambapo mara nyingi huwa ni sekta binafsi au in some cases katika mifuko ya hifadhi ya jamii ,hii nayo ina nafasi kubwa sana katika kutengeneza bajeti
5-External borrowing but non concessional Aids
Hii inajieleza na ina mchango wa asilimia kati ya 2-3.6 ya bajeti yetu
6-Grants and foreign Loans
Hii ndilo kundi ambalo MCC inaingia na katika makundi yanayochangia kwa kiasi kikubwa kweny bajeti bas I kundi hili ni la mwisho
JE MAKADILIO YA BAJETI YA MWAKA HUU NI SHILINGI NGAPI??
Baadhi ya wataalam wa masuala ya kiuchumi wanakadiria bajeti ya mwaka huu kuwa trilion 22.6
Now makusanyo ya kila mwezi ya T.R.A ni 1.3-1.4 tril kw kila mwezi ambapo ukichukua 1.4*12=16.8 ambpo maana yake ni kwamba Domestic revenue ya kodi tu ni 17 trill bado. LGAs
Non Tax rev
Internal borrowing
N.k
Sasa kwa haya yote ni ipi athari ya MCC Kwa bajeti yetu??
Bado hamuioni dalili ya kuendesha bajeti for atleast 80%??
Na kutokana na hili ndo maana raisi kaenda chato kupumzka maana the deal is done
Mwandishi ni mimi
Nkololo
0655763064