Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa...
Tuliwahi kuwa na viwanda vingi na vya namna mbalimbali ambavyo lengo lake kubwa lilikuwa ni kutengeneza uwezo wa ndani wa taifa kuzalisha bidhaa mbalimbali ili kutosheleza kwa kiasi kikubwa...
Jana, raisi wa Jamhuri ya Muungano na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania kaeleza kwamba kuna mtu amekopa benki 5 au 6 tofauti za Tanzania na hajulikani alipo, yaani...
Natanguliza shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunileta duniani na kuweza kupata uhai ambao Leo hii unanifanya naweza kufikiri Kwa mapana.
Leo...
Baadhi ya askari kutoka nchini Marekani wakihitimisha jukumu la ulinzi katika uwanja wa ndenge ya Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, baada ya Makamu wa Rais wa nchi hiyo Kamala Harris...
Wenzangu wa CCM tujifunze kutoka kwa CCM mwenzetu wa China. Yeye yupo kwa maslahi ya China kwa 100% lakini sisi wengi wetu kwa 100% wapo kwa maslahi yao.
Tukutane tukae tuunde mfumo wa kudhibiti...
Kabla ya kuvunja TTCL serikali ingefanya haya kwanza.
Kuhakikisha zoezi la kampuni zote za simu zinauza hisa Kwa wananchi kama ambavyo sheria inataka na iwapo wananchi wakishindwa kununua hisa...
Waliokuwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St Augustine Mwanza wameshinda kesi dhidi ya Bodi ya wadhamini ya chuo hicho baada ya kupigania haki kwa miaka 12 na Mahakama kuamuru walipwe fidia ya Sh30...
Aliyewahi Kuwa mbunge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge PAC mh Zitto Kabwe amesema DPP Biswalo alianza kukusanya Fedha za Plea bargain Kabla Sheria haijatungwa
Bunge la akina Zitto Kabwe Ndio...
Well... Tunashukuru vyanzo vyetu vya "kuaminika" once again.. we set the standard!
On Technicality?
Habari Leo
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema jana alipata bahati ya kukutana na Rais Samia baada ya kualikwa kwenye ftari aliyomwandalia VP wa USA Kamala Harris
Mbowe amesema kupitia ukurasa wake wa...
Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza...
Hakika inashangaza sana kuona kuna Watu ndani ya NCHI wanaonekana Wao ndio kila kitu.Kuna MAWAZIRI kila BARAZA la MAWAZIRI linapotangazwa au kufanyiwa Marekebisho Madogo WAO lazima YAWAKUMBE.
Kwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Maalum cha kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa leo tarehe 01...
Namuona Jenista Mhagama na Mama Samia wakituletea uongozi wa juu kama ule wa Jamhuri ya Barbados au Simbachawene anaweza kuingia hapo kwa Majaliwa tuwatulize wagogo.
Hii ripoti ya CAG Kasimu...
Wanabodi
Jana nilibahatika kufuatilia mkutano wa Rais Magufuli uliofuta kikokotoo kipya na kurejesha cha zamani.
Taarifa ya Waziri Mhagama ilieleza uamuzi wa kikokotoo kipya ni kufuatia actuarial...
Wahenga walisema kuwa lisemwalo lipo.
Kuna vijana ambao waliamini kuwa kuteuliwa kwa kushika madaraka miaka ya 2015 mpaka 2021 walijiona kama miungu ya duniani.
Lkn Mungu hakuwa upande wao kwani...
Hivi imefika hatua kweli nafasi moja inagombaniwa na watu zaidi ya mia moja?
Leo nimeenda kufanya interview ya kufundisha hesabu shule inaotwa st James English medium IPO banana kitunda Cha ajabu...
Ndugu zangu watanzania,
Kutokana na uchapa kazi wa Rais Samia ,juhudi zake katika kuimarisha uchumi,demokrasia ,kuvutia wawekezaji,wafanyabiashara, kukuza na kujenga uchumi jumuishi, kujenga na...