Rais Samia akutana na Dangote leo Mei 16, 2026

Rais Samia akutana na Dangote leo Mei 16, 2026

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,213
Reaction score
15,564
photo_2026-05-16_12-29-12.jpg
WhatsApp Image 2026-05-16 at 12.32.33.jpeg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
WhatsApp Image 2026-05-16 at 12.34.56.jpeg

WhatsApp Image 2026-05-16 at 12.32.30.jpeg
WhatsApp Image 2026-05-16 at 12.33.07.jpeg

WhatsApp Image 2026-05-16 at 12.33.15.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
WhatsApp Image 2026-05-16 at 13.05.38.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Makamu wa Rais wa Dangote Group anayeshughulikia Mafuta na Gesi Bw. Edwin Devakumar pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) Gilead Teri, , Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
WhatsApp Image 2026-05-16 at 13.11.16.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026​
 
Hii ni habari njema sana,
Naaamini Mama ameenda akiwa na hoja za nguvu sana;
Tunatamani kile kiwanda cha kuchakata mafuta kijengwe kwetu. Hata akitaka tukihamishie bandari ya bagamoyo yenye kina kirefu sawa tu...tutampa ardhi bure kabisa, umeme tunao wa kutosha, barabara ya viwango na hata akitaka mwendokasi chap kwa haraka tunapeleka....Lakini pia sisi ndio tunapakana na nchi nyingi kuliko wote hivyo - promotion & accessibility tunaweza kuiongelea vizuri...
 
Washajaa kwenye mfumo, hela waga inataka kiburi na jeuri kama hivyo!
Watu wakufuate uwape masharti yako, ndo hela inataka namna hiyo. 😊
Kitaalamu tunaita Win-Lose negotiations...
Sisi tupoteze yeye apate...
Nawalaumu sana idara ya Intelligence ya hii nchi.
Haya mambo yalitakiwa kufanyika mapema sana.

Hata kwa akili ya kawaida walipaswa kuelewa kwanini Ruto alizungumzia Tanga kwa hali ile, wao wanang'enua tu meno utatuzi 0
 
Kile kitengo wako bize kukimbizana na wakosoaji tu
😄

Ova
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
 
Attachments

  • IMG-20260516-WA0094.jpg
    IMG-20260516-WA0094.jpg
    1,013.8 KB · Views: 16
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
IMG-20260516-WA0094.jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
IMG-20260516-WA0057.jpg
 
Back
Top Bottom