Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Eng Justin Rujomba Tarehe 7.7.2022 amesaini Mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wenye thamani ya TZS...
14 Reactions
161 Replies
16K Views
NCHI INAZIDI KUFUNGULIWA, UKIZUBAA SHAURI YAKO. Anaandika, Robert Heriel Naona nchi inazidi kufunguliwa, wageni Kutoka Nchi za ng'ambo wanazidi kumiminika. Majiji makubwa yamesongwa na wageni wa...
27 Reactions
37 Replies
3K Views
Huu upepo unaelekea kutulia na yitasahau tu na tutangoja ya kwakani. Tujilulize report ya mwaka jana nayo si tuliijadili humu sana? Kuna kilicho fanyika? Basi kama hakuna kilicho fanyika the same...
3 Reactions
9 Replies
926 Views
Hii ni kwa mujibu wa riport ya CAG. Ambapo kiasi cha shilingi bilioni 80 hazionekani zilipo, pesa ambazo ukizigawa kwa halimashauri zote 187 nchini ni kila halimashauri imepoteza milioni 420. Hii...
1 Reactions
6 Replies
427 Views
Hilo ndilo swali kubwa ninalojiuliza, ni kwanini hao watendaji wetu wa Serikali, ambao wanafahamika hata Kwa majina, waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, kuwa wamefisadi mabilioni ya shilingi za...
6 Reactions
19 Replies
973 Views
Wadau naamini Bado mnakumbuka SAKATA la RICHMOND lilivyomwondoa MADARAKANI aliyekuwa WAZIRI MKUU Mh.EDWARD LOWASSA kutokana na Tuhuma za Ufisadi wa Kampuni ya RICHMOND. Juzi CAG Wakati anakabidhi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo: Amemteua Mhe. Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi...
16 Reactions
159 Replies
22K Views
Sijui kama ni Mimi peke yangu ndiye simwelewi DCI Kingai au ni watu wengi? Matukio ya Uhalifu yameongezeka Sana siku za hivi karibuni. Polisi kutunishiana misuli na raia limekuwa Jambo la kawaida...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Sasa ni dhahiri kwamba Mungu amejibu maombi yetu , tena amejibu kwa wakati muafaka, CCM imeishiwa viongozi . Maandiko Matakatifu yanasema hivi , "Ombeni Nanyi mtapewa , bisheni nanyi...
15 Reactions
53 Replies
3K Views
Bunge limejaa usanii mtupu na vilio vya mamba ndani yake, Spika ni Dhaifu katika Maspika wa Bunge kusini mwa jangwa la Sahara. Report ya sasa sio ngeni sana, vipi ya kwaka jana? Vipi ya mwaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nasema hivi: - Siasa za Tanzania leo, hakuna Kiongozi wala Mwanasiasa hata mmoja anayeweza diriki kumkosoa rais Samia na serikali yake hadharani na bila kumung'unya maneno kwa sababu moja tu -...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Tangu kuanza kwa Bunge hili April, 2023 nimekuwa nikifuatilia sana Spika Dkt. Tulia Ackson katika kunyosha hoja na kutoa ufafanuzi wa kimantiki kwa Wabunge na Watanzania! Hoja ya Over Invoice ya...
0 Reactions
1 Replies
336 Views
Katibu mkuu wa CCM bwana Chongolo amesema anateswa na hotuba za viongozi wa Chadema kwenye majukwaa kwani hazina tija yoyote kwa wananchi. Bwana Chongolo amesema ukiwasikiliza viongozi wa Chadema...
8 Reactions
48 Replies
4K Views
Sabaya amefedheheka sana kuwa ni Jambazi, mpokea rushwa, mtumia madaraka vibaya na mbakaji. CCM nayo imeadhirika kwa kuwa inaweka madarakani vijana wenye hulka mbaya bila ya kuwafanyia Scanning...
20 Reactions
111 Replies
5K Views
WaTanzania wenzangu, ni mawazo tu yanayoingia akilini, wakati tunapofunuliwa yanayofanyika huko ndani ya serikali yetu yanayohusu ufujaji mkubwa wa pesa za wananchi. Huu ni utaratibu...
2 Reactions
1 Replies
511 Views
Katika Ripoti yake iliyotolewa leo, CAG amesema hivi, Nanukuu "Napendekeza Iundwe Tume Huru ya kuchunguza uwezekano wa ukiukwaji wa Maadili na Matumizi Mabaya ya Ofisi ya Umma katika mchakato wa...
17 Reactions
118 Replies
8K Views
Mwendelezo huu wa manung'uniko ya watu dhidi ya yanayojiri, ni dalili ya mkwamo kamili kwenye jitihada zetu za kudai haki. Alikuwepo mzee wa Kiraracha(RIP) akisema sera zake ni siri. Mikakati yetu...
7 Reactions
62 Replies
3K Views
Hivi kuna wanajamii forum amepitiwa na huu mgao maana 2.25 B si haba tena kwa wasio na ishu yoyote Town USSR Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
797 Views
Akiwa pembeni ya CAG Kichere mbunge wa CHADEMA Halima Mdee amesema hafurahishwi kabisa na mtindo wa baadhi ya Watumishi kutotumia Mashine za EFD wanapopokea malipo Mdee amesema kutotumia Mashine...
0 Reactions
8 Replies
687 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…