Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,400
- 4,074
Wadau naamini Bado mnakumbuka SAKATA la RICHMOND lilivyomwondoa MADARAKANI aliyekuwa WAZIRI MKUU Mh.EDWARD LOWASSA kutokana na Tuhuma za Ufisadi wa Kampuni ya RICHMOND.
Juzi CAG Wakati anakabidhi Report yake kwa Mh.RAIS ametaja Madudu mengi yakionyesha UPOTEVU wa MABILIONI ya FEDHA za UMMA.
Ninaamini kama lile BUNGE liliweza Kuisimamia SERIKALI mpaka WAZIRI MKUU akajiuzulu pamoja na baadhi ya Mawaziri basi Tunataka na BUNGE hili liibane SERIKALI wahusika Wote waliotajwa na CAG WACHUKULIWE Hatua za KISHERIA ikuwa ni pamoja na Kushtakiwa na KURUDISHA FEDHA walizotuibia.
WATANZANIA tutalishangaa sana BUNGE kama LITASHINDWA kuwashughulikia Watendaji wote Waliotajwa na CAG.Baadhi ya MADUDU yaliyotajwa YANATIA KINYAA kuyasikia Utadhani NCHI haina VIONGOZI wala VYOMBO vya KUSIMAMIA Fedha za UMMA.