Usanii wa Bunge. Je, Ripoti ya CAG ya mwaka jana imefanyiwa kazi?

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,496
8,734
Bunge limejaa usanii mtupu na vilio vya mamba ndani yake, Spika ni Dhaifu katika Maspika wa Bunge kusini mwa jangwa la Sahara.

Report ya sasa sio ngeni sana, vipi ya kwaka jana? Vipi ya mwaka juzi? Kuna report na report za CAG ziko ofisini kwao hapo Dodoma, na hawa wasanii hawajahi zitolea maamuzi, wamejaa usaniii na kuigiza pale Dodoma kwamba wana uchungu na wako serious kumbe hakuna kitu pale, ni raia wajinga pekee wanao amini pale kuna Bunge.

Wabunge ni dhaifu plus uwezo mdogo wa kuwaza, that is why muda mwingi ni kusifia na kupongeza tu.

Hawa wabunge na vilio vyao vya Mamba wangezana kuuliza report ya kwaja jana ya CAG kama ilisha fanyiwa kazi au la na kama bado kwa nini?

Wanacho fanya sasa ni kucheza na akili za wajinga ili wajinga sisi tuwaone jamaa wako Serious sana na wana uchungu sana kumbe ni machozi ya Mamba tu.

Hao wakina sijui Msukuma wanacheza ba akili tu za wajinga, bunge ni dhaifu sana likiongozwa na Spika dhaifu sana, alaumiwe jiwe hapa.

Linapo fika swala la Udhaifu wa Bunge la sasa lawama asilimia 100 zimwendee jiwe au Mwenda zake huko aliko, yeye ndio alitaka Bunge dhaifu la kiwango hiki ili wawe wanamsifia tu pale Dodoma.

Hawa hakuna wanacho weza kuamua kwa sasa kwa masilahi ya nchi ziaidi ya hadaaa na machozi ya Mamba.
 
Report ya sasa sio ngeni sana , vipi ya kwaka jana? Vipi ya mwaka juzi? Kuna report na report za CAG ziko offini kwao hapo Dodoma, na hawa wasanii hawajahi zitolea maamuzi, wamejaa usaniii na kuigiza pale Dodoma kwamba wana uchungu na wako serious kumbe hakuna kitu pale, ni raia wajinga pekee wanao amini pale kuna Bunge.

Wabunge ni dhaifu plus uwezo mdogo wa kuwaza, dhat is whay muda mwingi ni kusifia na kupongeza tu.

Hao wakina sijui Msukuma wanacheza ba akili tu za wajinga, bunge ni dhaigi sana likiongozwa na Spika dhaifu sana, alaumiwe jiwe hapa.

Mie naona nguvu kubwa inafanyika kupongeza na kusifia tu huku haya madudu sijaona akilaumiwa MTU kwamba uzembe wake umechangia kutokea
 
Hawa vilaza wana mihemko tu,hii nayo itapita kama zikivyopita ripoti zote za CAG miaka nenda rudi. CCM ni ile ile anayetegemea kitu tofauti safari hii anaota ndoto ya mchana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Bunge limejaa usanii mtupu na vilio vya mamba ndani yake, Spika ni Dhaifu katika Maspika wa Bunge kusini mwa jangwa la Sahara.

Report ya sasa sio ngeni sana , vipi ya kwaka jana? Vipi ya mwaka juzi? Kuna report na report za CAG ziko offini kwao hapo Dodoma, na hawa wasanii hawajahi zitolea maamuzi, wamejaa usaniii na kuigiza pale Dodoma kwamba wana uchungu na wako serious kumbe hakuna kitu pale, ni raia wajinga pekee wanao amini pale kuna Bunge.

Wabunge ni dhaifu plus uwezo mdogo wa kuwaza, dhat is whay muda mwingi ni kusifia na kupongeza tu.

Hawa wabunge na vilio vyao vya Mamba wangezana kuuliza report ya kwaja jana ya CAG kama ilisha fanyiwa kazi au la na kama bado kwa nini?

Wanacho fanya sasa ni kucheza na akili za wajinga ili wajinga sisi tuwaone jamaa wako Serious sana na wana uchungu sana kumbe ni machozi ya Mamba tu.

Hao wakina sijui Msukuma wanacheza ba akili tu za wajinga, bunge ni dhaigi sana likiongozwa na Spika dhaifu sana, alaumiwe jiwe hapa.

Linapo fika swala la Udhaifu wa Bunge la sasa lawama asilimia 100 zimwendee jiwe au Mwenda zake huko aliko, yeye ndio alitaka Bunge dhaifu la kiwango hiki ili wawe wanamsifia tu pale Dodoma.

Hawa hakuna wanacho weza kuamua kwa sasa kwa masilahi ya nchi ziaidi ya hadaaa na machozi ya Mamba.
Nikisema kuna uigizaji mkubwa Bungeni wala sikosei.

Wapo pale kulinda maslahi yao na maslahi ya chama kinachonuka damu za watanzania
 
Bunge la sasa lawama asilimia 100 zimwendee jiwe au Mwenda zake huko aliko, yeye ndio alitaka Bunge dhaifu la kiwango hiki ili wawe wanamsifia tu pale Dodoma.
Jiwe kafanyaje sasa hapo wewe,
Unaandika mada nzuri unamaliza kuleta utumbo wa bata.
Kama una nongwa na jiwe mfate Chato mfukue mnye chai umseme mzike tena.
Muacheni mzee wa watu apumzike.
RIP🙏
 
Bunge limejaa usanii mtupu na vilio vya mamba ndani yake, Spika ni Dhaifu katika Maspika wa Bunge kusini mwa jangwa la Sahara.

Report ya sasa sio ngeni sana, vipi ya kwaka jana? Vipi ya mwaka juzi? Kuna report na report za CAG ziko ofisini kwao hapo Dodoma, na hawa wasanii hawajahi zitolea maamuzi, wamejaa usaniii na kuigiza pale Dodoma kwamba wana uchungu na wako serious kumbe hakuna kitu pale, ni raia wajinga pekee wanao amini pale kuna Bunge.

Wabunge ni dhaifu plus uwezo mdogo wa kuwaza, that is why muda mwingi ni kusifia na kupongeza tu.

Hawa wabunge na vilio vyao vya Mamba wangezana kuuliza report ya kwaja jana ya CAG kama ilisha fanyiwa kazi au la na kama bado kwa nini?

Wanacho fanya sasa ni kucheza na akili za wajinga ili wajinga sisi tuwaone jamaa wako Serious sana na wana uchungu sana kumbe ni machozi ya Mamba tu.

Hao wakina sijui Msukuma wanacheza ba akili tu za wajinga, bunge ni dhaifu sana likiongozwa na Spika dhaifu sana, alaumiwe jiwe hapa.

Linapo fika swala la Udhaifu wa Bunge la sasa lawama asilimia 100 zimwendee jiwe au Mwenda zake huko aliko, yeye ndio alitaka Bunge dhaifu la kiwango hiki ili wawe wanamsifia tu pale Dodoma.

Hawa hakuna wanacho weza kuamua kwa sasa kwa masilahi ya nchi ziaidi ya hadaaa na machozi ya Mamba.
niliacha kufuatilia habari za Bunge sijui mwaka gani.. Tanzania ni upuuzi uliopo hapa duniani.. easy to access, easy to manipulate..
 
Back
Top Bottom