Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mimi Meneja Wa Makampuni naomba kuzama kwenye mada moja kwa moja: Nashauri tu: Kama serikali imeshindwa kuendesha baadhi ya mashirika kama TTCL, basi tumpe...
0 Reactions
3 Replies
529 Views
Afrika Kusini wakati wa utawala wa Zuma familia ya Gupta ilikuwa na uswahiba usiokuwa na afya na mtoto wa rais huyo. Hii ikapekekea ufisadi mkubwa Sana kufanyika serikalini kupitia tenda...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Makosa ya Sabaya yalikuwa wazi sana kiasi ambacho ilikuwa rahisi kabisa kumfunga kwa kesi yoyote ile iwe ya kutumia madaraka vibaya, uhujumu uchumi, kutumia silaha. Maswali nayojiuliza ikiwa haya...
24 Reactions
53 Replies
4K Views
Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale...
13 Reactions
84 Replies
8K Views
Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia...
13 Reactions
69 Replies
8K Views
Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira amesema Taifa limeanza kupoteza watu kusema ukweli, badala yake kumeibuka utaratibu wa kusifiana hata pasipokuwa na sababu za Msingi. Alisema siku za...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni magari ya bilioni 35.29 hayajulikani yalipo USSR Sent using Jamii Forums mobile app
12 Reactions
91 Replies
6K Views
Channel hii inadaiwa kuwa ni ya Kanisa Katoliki, lakini hakuna habari nyingine za kisiasa inazoonyesha zaidi ya habari za CCM tu, tena wako radhi waonyeshe habari za kijinga za CCM na kuacha...
12 Reactions
76 Replies
4K Views
Wasalaam, Moja kwa moja kwenye mada, nashangaa kwanini Mh. Waziri anakuwa mzito kujieleza ni hivi:- Inapotengenezwa budget kila wizara inatoa budget yake kwa maana ya makadirio au makisio yanayo...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndugu wanabodi leo Waziri wetu wa Fedha amekiri malipo yote ambayo CAG amehoji yaliidhinishwa na Mh Rais Samia hata Mh Ole Sendeka aliposimama kuomba mwongozo wa spika kwa pamoja spika na Waziri...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
PAUL Makonda, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, amemvua nguo RaisJohn Magufuli katika vita ya ufisadi. Siri zake zimeanza kuvuja na imeanza kudhihirika kuwa hasira zote na bidii ya kunyamazisha...
98 Reactions
335 Replies
49K Views
Uozo wote kwenye ripoti ya CAG uko kwenye Wizara na Idara ambazo haziko chini ya Waziri Mkuu bali zinaelekea kumgusa Mkuu mwenyewe. Swali ni je nani atakuwa mbuzi wa kafara kumnusuru Mkuu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
MHE. SEIF GULAMALI: "MILIONI 225 KWA AJILI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU JIMBO LA MANONGA, TABORA Mbunge wa Jimbo la Manonga, Mhe. Seif Khamis Gulamali amesema kuwa tayari wamepokea fedha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sio mwingine, bali ni Katibu Muenezi wa sasa CCM Sophia Mjema. Ni mnukuu Bwana Lucas Hakika mama huyu Sophia Mjema Anakwenda kuziteka na kuzitawala siasa za nchi hii, wapinzani wanakwenda kuweka...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Hoja saba (7) za Waziri Mkuu Kivuli ACT Wazalendo Ndg. Dorothy Manka Semu kufuatia Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu Mapitio ya kazi na mwelekeo wa Serikali na makadirio ya matumizi kwa Mwaka...
0 Reactions
4 Replies
912 Views
Jana katika kikao cha Bunge kulikuwa na mtifuano kuwa ni nani anyeidhinisha malipo ya Serikali. Waziri wa Fedha akajibu jibu ambalo halikumridhisha Mhe. Sendeka na Mhe. Spika akaongezea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi. Mhandisi Ezra pia amemshukuru...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Wito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli. Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu. Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika...
30 Reactions
101 Replies
6K Views
Hii ni habari njema sana kwa Watanzania wote. Uongozi wa Rais Samia Suluhu ni uongozi ambao Watanzania wengi tulitamani kuwa nao, ni uongozi tuliokuwa tunauota kwa zaidi ya miaka 5. Tulitamani...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Na Kitilingo, Ramadhanim(Mwanadiplomasia). Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru, Imani hii ni ya chama cha mapinduzi hautaikuta kwenye chama...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…