USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,218
- 28,928
Duh!Ni magari ya bilioni 35.29 hayajulikani yalipo
USSR View attachment 2578741
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ndugu USSR,hata wewe mdau hujui🤔Duh!
Wizi wa kutisha huu🙄
Kwani aliyenunua kwa niaba ya serikali hajulikani?!!!
Najualia wapi ndugu yangu ,wizi wa kutisha mwaka jana tuliambiwa ni Magufuli leo maika miwili hayupoVipi ndugu USSR,hata wewe mdau hujui[emoji848]
Hawa wanachosha akili zetu, kila kitu wanajua wenyewe au wanataka tuhusike kuyatafuta ama nini?Duh!
Wizi wa kutisha huu🙄
Yamenunuliwa lini na wapi?
Nani alihusika kulipa?
Kwani aliyenunua kwa niaba ya serikali hajulikani?!!!
Eeh! Muhimu uhaiIbeni tu
Hujamisi Magufuli tuAwamu hii tutakuwa tunaibiwa mpaka na wajinga.
Moja nimeliona likivuka mpaka wa Holili kuingia Kenya.Ni magari ya bilioni 35.29 hayajulikani yalipo
USSR View attachment 2578741
Sent using Jamii Forums mobile app
Urefu wa kambaIbeni tu
Liache tumeruhusiwa kulamba asaliMoja nimeliona likivuka mpaka wa Holili kuingia Kenya.
Nilizuie au niache liendelee na safari?