Control namba inadumaza ustawi wa CCM ngazi za Kata na Matawi

Witiri

Member
Dec 12, 2022
38
68
Na Kitilingo, Ramadhanim(Mwanadiplomasia).

Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru, Imani hii ni ya chama cha mapinduzi hautaikuta kwenye chama chochote cha siasa hapa nchini tanzania. Jamii yoyote inayojitegemea inakuwa na nguvu kwa sababu iko huru na yenye usawa hivyo kuwafanya kuwa wamoja na kufikia mafanikio ya malengo waliyojiwekea.

Chama cha Mapinduzi ndicho chama pekee kilichoweza kuwafikia watu mpaka kwenye ngazi za ukoo na familia, leo kuna hadi koo za ccm na katika kila watu 10 basi watu 9 no wanachama wa ccm na hii ni kutokana na umahiri wake katika uongozi kwa miaka yote toka kuanzishwa kwake wakati wa mfumo wa chama kimoja mpaka 1992 kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa.

Kwa mapenzi waliyonayo wanachama na wakereketwa, wamegeuka kuwa wadau wakubwa katika kukisaidia chama cha mapinduzi kwa hali na mali katika harakati zake za kisiasa na zakuwaletea watu maendeleo.

Wapo watu walitoa viwanja vyao bure kwa ccm, wapo watu walitoa nyumba zao kwa ccm, wapo waliotoa sehemu za biashara zao ili ccm ifanye ofisi bila kuitisha fedha katika ngazi mbali mbali mifano tunayo mingi hata kwenya nagzi zetu za matawi huku chini kabisa.

Kwa masikitiko makubwa miaka ya hivi karibuni kabla ya 2015, kulikuwa na ufujaji na uhujumu wa mali na mapato ya chama cha mapinduzi na kupelekea chama kuanza kuwategemea na kuwakumbatia wafanyabiashara katika kampeni zake za kushika dola kitu ambacho ni hatari kwa chama na nchi yetu.

Viongozi walijimilikisha magari, miradi ya ccm, majengo, viwanja na mambo mengine ambayo yalikuwa yanakipa chama cha mapinduzi jeuri ya kufanya kampeni bila wasi wasi na nchi ikiwa imetulia mpaka viongozi wanaapishwa.

Haya yote tumeyajua baada ya kuundwa kamati na aliyekuwa Mwenyekiti wa ccm na Rais hayati Magufuli na kamati ile iliongozwa na mhadhiri wa chuo kikuu ndugu Dr. Bashiru kakulwa ambapo baadae alikuja kuwa katibu mkuu wa ccm.

Baada ya kubaini hayo yaliyotajwa kwenye tume ya uchunguzi wa mali za ccm, Chama cha Mapinduzi kilikuja na kitu walichokiita Control Namba, ambapo Mapato yote yanayotokana na miradi ya ccm, michango ya wadau na wakereketwa pamoja na ada za wanachama zitawekwa mfuko mkuu wa ccm kupitia control namba.

Lengo lilikuwa ni kudhibiti kabisa wahuni kuiba na kufuja mali za chama na kukiondoa chama katika utegemezi kwa wafanyabiashara kukifadhili chama katika shughuli zake za kampeni za uchaguzi mkuu na kuwafanya kuwa watu wasiogusika na hata kupelekea kuchezea maslahi yetu kama taifa.

Kundi hili kwa miaka yote ya ufujaji mali za ccm limekuwa ni kundi la watu wenye nguvu na wenye uwezo wa kuwachagulia wananchi viongozi wanaowataka wao kwa maslahi yao binafsi yakiwemo ya ukwepaji kodi za nchi kwa madai wanarudisha gharama za ufadhili wakati wa kampeni.

Control Namba sasa imekuwa mwiba katika usatwi wa ofisi za ccm ngazi za kata na matawi, leo hii kuna kata nchini zimepata michango kutoka kwa wadau kwa ajili ya ujenzi kwa ofisi zao inayofikia hadi milioni 15 lakini kila wanapoziomba hawapewi.

Zipo ofisi za matawi kupitia wadau wake wa mitaani wamechanga kupitia control namba lakini kila wanapoomba hawapewi. Hii control namba iliwekwa ili kudhibiti ufujaji ndio na sio kukwamisha ustawi wa ofisi za ccm, leo viongozi wa ngazi za kata na matawi wanashindwa kufanya vikao vyao vya kimkakati sababu ya ofisi hawana badala yake wanatumia kumbi na mabaa ambayo sio salama sana katika kutafuta dola.

Viongozi wa ccm ngazi ya taifa, hii control namba kama mtaamua kushuka chini huku mkauliza inafaida gani kwa wana ccm mtashangaa majibu watakayotoa wana ccm, hiyo control namba inawanyong'onyeza wao na kupoteza mapenzi na chama chao ambacho walikitumikia zama hizo kikiwa hakina kitu na uchumi ulikuwa chini kweli lakini kwa sasa uchumi wa wanachama uko vizuri na wana uwezo wakujenga ofisi zao nzuri tu sasa kwanini wakwamishwe na michango yao wenyewe?

Wapatieni fedha hizo walizoomba ili wakamilishe ofisi na wengine waanze kujenga, inasikitisha kata au tawi imeomba fedha huko ngazi za juu lakini mpaka leo ni mwaka wa 4 hakuna jibu linaloeleweka. Sasa tunamashaka pia na hii control namba, ni ile ile iliyoanzishwa au kuna control namba zingine ambazo wanachama wanapotoa michango yao inakwenda huko na kupelekea mfuko mkuu wa ccm kukosa fedha?

Tusaidieni majibu sababu hata sisi huku wadau waliotoa michango nao wanauliza, vipi mbona hatuoni ujenzi ukiendelea licha ya kuwa tumetoa michango?

Futa control namba, jenga na imarisha uadilifu.

0699826969.
 
Acha janja janja, control namba ni muhimu sana kudhibiti ufujaji wa mapato.

Katika kitu cha mhimu alichofanya jpm ni pamoja ukusanyaji wa mapato kwa njia ya kielecteonic vinginevyo kila bosi wa shirika la umma angekuwa na kiriba tumbo japo bado kuna wizi lakin control namber inaweka uwazi
 
Fedha za serikali zinaliwa bila woga huku serikali ina taasisi zote za uchunguzi, itakuwa hizo za chama kilichaoasisi wizi? Bora na nyie CCM kama chama mujionee chama chenu kilipoifikisha nchi hii kwenye suala la uadilifu wa hela.
 
mkuu ungejua hali zilizopo kwenye matawi huku ungeona huruma

Mkuu

Unataka contro number iondelewe halafu hizo pesa ziishie mfukoni kwenu?

Tatizo lenu hamna kazi ya ziada kutwa kushinda kwenye ofisi za matawi kuvizia wapangaji.

Kabla ya kuomba hizo nafasi, uliambiawa kabisa ni lazima uwe na kazi ingine ya kukuingizia kipato.

Hapo tawini na Katani huko siyo sehemu ya kukuingizia wewe pesa, Fanyeni kazi!

Kuna katibu wa Tawi fulani hapo Dsm, aliwai kujenga nyumba na kumhonga mhazini wa wilaya gari kwa pesa hizo hizo za makusanyo.

Kwa mustakabali wa Mapato ya Chama CR00 ibaki. Siungi mkono Hoja.

Asante!
 
Back
Top Bottom