Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,377
- 217,438
Channel hii inadaiwa kuwa ni ya Kanisa Katoliki, lakini hakuna habari nyingine za kisiasa inazoonyesha zaidi ya habari za CCM tu, tena wako radhi waonyeshe habari za kijinga za CCM na kuacha habari za maana za vyama vingine.
Ndio maana nimejitokeza kuuliza kwamba TV hii ni mali ya CCM, mbona haionyeshi habari za vyama vingine? Japo tunafahamu kwamba Polycap Pengo ni mwanaccm lakini kwani Pengo ndio mmiliki wa TV Tumaini?
Je Taratibu za TCRA zinaruhusu TV ya Kanisa kuegemea chama kimoja?
Itaendelea .......