Familia ya Gupta iliuweka utawala wa Zuma mfukoni ikawa haigusiki. Je, kuna familia inamsumbua rais Samia?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Afrika Kusini wakati wa utawala wa Zuma familia ya Gupta ilikuwa na uswahiba usiokuwa na afya na mtoto wa rais huyo.

Hii ikapekekea ufisadi mkubwa Sana kufanyika serikalini kupitia tenda zilizokabidhiwa kwa familia hiyo.

Hivi Sasa Kuna ufisadi unaowekwa wazi na CAG hapa Tanzania lkn mamlaka zinqpata kigugunizi kuchukua hatua.

Ndiyo maan tunajiuliza kuna Gupta family hapa Tanzania inayomsumbua rais Samia??
 
Mmmmm umenikumbusha awamu ile ya Ladwas ilipoiweka mfukoni awamu ya pili nhe wahindi hawa ni balaa!
 
Wachawi ni makanji.. af ukizingartia bloodline ya malkia wa Sheba ni kulekule unaweza ku break code
 
Afrika Kusini wakati wa utawala wa Zuma familia ya Gupta ilikuwa na uswahiba usiokuwa na afya na mtoto wa rais huyo.

Hii ikapekekea ufisadi mkubwa Sana kufanyika serikalini kupitia tenda zilizokabidhiwa kwa familia hiyo.

Hivi Sasa Kuna ufisadi unaowekwa wazi na CAG hapa Tanzania lkn mamlaka zianqpata kigugunizi kuchukua hatua.

Ndiyo maan tunajiuliza kuna Gupta family hapa Tanzania inayomsumbua rais Samia??
Familia ya Kikwete sio kumuweka mfukoni Rais tu bali watanzania wote

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika Kusini wakati wa utawala wa Zuma familia ya Gupta ilikuwa na uswahiba usiokuwa na afya na mtoto wa rais huyo.

Hii ikapekekea ufisadi mkubwa Sana kufanyika serikalini kupitia tenda zilizokabidhiwa kwa familia hiyo.

Hivi Sasa Kuna ufisadi unaowekwa wazi na CAG hapa Tanzania lkn mamlaka zianqpata kigugunizi kuchukua hatua.

Ndiyo maan tunajiuliza kuna Gupta family hapa Tanzania inayomsumbua rais Samia??
Kama amewekwa mfukoni ni udhaifu wake hata hivyo sishaangai rais kuwa hivyo fuatilia history yake mpaka alipohivi sasa
 
Back
Top Bottom