Wasira baada ya Rais kumtupa nje ya Kamati Kuu CCM ndio unawaita wenzako wanafiki?

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686
Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira amesema Taifa limeanza kupoteza watu kusema ukweli, badala yake kumeibuka utaratibu wa kusifiana hata pasipokuwa na sababu za Msingi.

Alisema siku za hivi karibuni jamii imeanza kuogopa kusema kusema ukweli kuliko hata kuogopaugonjwa wa Ukimwi.

Wasira alitoa kauli hiyo juzi, wakati akifungua kongamano la maadhimisho ya kumbukizi yakifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume lililoandaliwana kufanyika katika Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume, Zanzibar.

Wasira ametolewa kwenye Kamati Kuu ya CCM iliyoundwa na Rais Samia je kauli hizo ni kwa sababu yuko nje ya Kamati Kuu?
 
Wasira siyo mtu wa kwanza kuulalamikia unafiki na ufitini ndani ya ccm. Rostam Aziz na Polepole pia wamewahi kulalamika
 
Wasira ametolewa lini kwenye kamati kuu?
 
Na aliyoyasema Wassora ndiyo hayo unayoyafanya wewe!

Mkiambiwa ukweli mnatafuta kichaka kuficha madudu yenu!

Hili ni tatizo kubwa linaloelekea kuiuwa CCM
 
Wasira siyo mtu wa kwanza kuulalamikia unafiki na ufitini ndani ya ccm. Rostam Aziz na Polepole pia wamewahi kulalamika
Polepole alifanya interview moja nadhani kuna clip yake mahala ambapo alianisha mambo ambayo ukiwa ndani ya ccm unaweza kufanyiwa yakiwemo FITINA,UCHAWI, MIZENGWE, KUUWAWA na huyo ndio alikuwa jikoni mwa ccm hivyo anajua anachokisema!
 
Ndiyo hiyo hiyo clip ambayo na mm nimeirejea
 
Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira amesema Taifa limeanza kupoteza watu kusema ukweli, badala yake kumeibuka utaratibu wa kusifiana hata pasipokuwa na sababu za Msingi.

Alisema siku za hivi karibuni jamii imeanza kuogopa kusema kusema ukweli kuliko hata kuogopaugonjwa wa Ukimwi.

Wasira alitoa kauli hiyo juzi, wakati akifungua kongamano la maadhimisho ya kumbukizi yakifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume lililoandaliwana kufanyika katika Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume, Zanzibar.

Wasira ametolewa kwenye Kamati Kuu ya CCM iliyoundwa na Rais Samia je kauli hizo ni kwa sababu yuko nje ya Kamati Kuu?
Acha Umbea, wewe ni mtoto wa kiume
 
Back
Top Bottom