Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu nipo gizani. Pasaka ni siku gani na tarehe ngapi?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Neno "kugwaya" lina maana sawa kabisa na neno "kuufyata". Neno hili asili yake ni mkoa wa Kigoma. Mama alipoingia tu ikulu akapewa taarifa za upigaji wa mabilioni ya shilingi pale BoT akaunde...
32 Reactions
97 Replies
5K Views
Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini EFF kimepokea kwa mikono miwili hatua ya kukamatwa kwa Raia watatu wa Afrika Kusini ambao mmoja wa ni Thabo Bester maarufu kwa jina la ‘Mbakaji wa...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa tunapoelekea umoja wa vijana unaongoza vijana wa chama tawala utageuka kuwa bendera fuata upepo ..yaani ule ushauri wa dhati kwenye maslahi ya vijana nchini morali yake ipo chini sana...
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Mh. Rais Dkt. Samia, Kwanza naomba unisamehe kwa lugha ngumu nitakayoitumia hapa ili kukufikishia ujumbe huu kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania. Nikurejeshe siku uliokula kiapo pale Ikulu ya...
23 Reactions
57 Replies
4K Views
Mzee wetu Majaliwa kwa kweli ndio C.E.O, kwa maana ya mtendaji mkuu wa serikali. Kwa nini madudu haya yanatokea na yeye akiwepo? Ameshindwa kusimamia shughuli za serikali? Bunge linatakiwa...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Waswahili walisema kusikia kwa kenge ni tofauti sana na viumbe wengine wote: Hata sisi hatuna namma nyingine kama ni nia yetu ya dhati kusikika. Kwamba ni ripoti za CAG? Kwamba ni wahalifu...
9 Reactions
61 Replies
3K Views
Wakili wa Sabaya, Mh Mahuna amesema Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi na hivo kwa mujibu wa makubaliano ya Plea Bargaining Sabaya anapaswa kumlipa Alex Swai kwa niaba ya mdogo wake Tsh...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, hii ni Nchi yetu sote. Kwa aina ya Wabunge hawa tulio nao sasa, kamwe hatutakuja kupata maendeleo ya kweli. Ebu fikiri, Mbunge anapewa dakika 10 za kuchangia hoja Bungeni...
11 Reactions
23 Replies
1K Views
Ameandika Patrick John Asenga, Kada wa Chadema kwenye Mtandao wa Twitter “Huu ndio ukweli..... Kimsingi hakuna jina lingine unaloweza kuiita SEREKALI hii ya CCM chini ya Rais Samia zaidi ya...
6 Reactions
68 Replies
3K Views
Mbunge wa Simanjiro,. Ole Sendeka leo bungeni amemtetea RAIS Samia Suluhu Hassan kuwa hahusiki na ufisadi wa ripoti ya CAG akipiga kauli ya Waziri Mwigulu aliyejaribu kumhusisha rais na wizi huo...
1 Reactions
9 Replies
968 Views
Ikumbukwe kwamba Yuda Iskarioti alikuwa Ndugu wa Yesu waliotoka kabila na eneo Moja Yuda Iskarioti licha ya sifa kuu ya Usaliti lakin alikuwa ni Mwizi wa Hazina ya wale thenashara Nimemsikia...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Amesikika waziri Mwigulu kuwa hazina yetu iko salama na zaidi sana Iko mikono salama: Kwa mwendo huu waziri Mwigulu analenga kusema nini hasa? Na kadhalika na kadhalika hadi chefu.
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Serikali ya Rais Museven imeweza angalau kumfikisha waziri mahakamani kwa wizi. Kwa mbiringe zinazoendelea bungeni na nje ya bunge kwa ripoti ya CAG na kashifa za wizi wa mali za umma namuomba...
0 Reactions
5 Replies
618 Views
Mbunge wa zamani wa Nyamagana kupitia CHADEMA EZEKIEL WENJE amenukuliwa akisema kuwa kama Rais wa Awamu ya Tano, Marehemu Dkt John Pombe Magufuli angekuwa hai basi asingekubali hali aliyoiita...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Upo wajibu wa Rais, wajibu wa Makamu wa Rais, waziri mkuu, Mawaziri, wabunge, spike na wananchi. Hivyohivyo kwenye ngazi ya familia uko wajibu wa baba, wajibu wa mama na wajibu watoto. Kila...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
08 April 2023 Tunduma, Tanzania BARAZA LA MADIWANI TUNDUMA LAWAMANI KWA KUUA UCHUMI Baraza la Madiwani linaloongozwa na CCM la mji wa Tunduma walaumiwa kuua mzunguko wa biashara na uchumi wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Unaweza kukuta Rais anatamani kupata Mawaziri wapya lakini atawatoa wapi? Kiukweli kwenye Katiba Mpya Mawaziri wasiwe wabunge kama ilivyo Kenya Mlale unono!
17 Reactions
55 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…