Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TANROADS NI BANDIKA BANDUA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU MOROGORO Na Mwandishi Wetu Morogoro Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umetekeleza miradi mbalimbali ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeangalia matangazo ya bunge kwa siku tatu mfululizo waheshimiwa wengi ambao ni wageni mjengoni, wamekuwa na katabia kama ka mashabiki wa mpira wa bongo wakiwa uwanja wa taifa wanavyofanya pindi...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Ebu kuweni makini huko serikalini watu wanajipakulia Nyama zote huku nyie mkiwa katika usingizi wa pono na mkiaminishwa kuwa ushoga ndo habari ya kufatilia hii ni spinning ili wao wajichotee Nyama...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
BUPE MWAKANG'ATA - MASWALI NA MAJIBU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa na Mwanzilishi wa Bupe Foundation, Mhe. Bupe Mwakang'ata ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambalo kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Spika Tulia anataka kuwaletea ahueni watu wanaotiliwa mashaka na CAG Kichere ndiyo maana anasema mjadala (wa ripoti ya CAG) ufanyike Novemba. Lakini kama CAG ameandika ile ripoti wale watu...
0 Reactions
1 Replies
507 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kuzisikiliza sauti za Watanzania kutoka mitaani, imeendelea kusikia maoni na uchambuzi wa watanzania kutoka vijiwe mbalimbali juu ya Uongozi Wa Rais Samia na...
5 Reactions
97 Replies
3K Views
Kwa ajili ya kuimarisha undugu wetu kama taifa watu wa karibu wa Cyprian Musiba na Bernard Membe waongee nao kuhusu haja ya kuwa na maridhiano. Waandae mkutano wa pamoja wa waandishi wa habari...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau hamjambo? Nadhani kupokea posho au mishahara ukiwa huna sifa za kazi yako ni wizi. Ndio maana watumishi wa vyeti fake yaliwakumba na kufukuzwa kazi na ripoti ya CAG ilionesha kiasi gani cha...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Marehemu Bazili Mramba alipeleka lami mpaka vichochoroni, heko kwake Kilimanjaro inawaka lami. Marehemu Mkapa alijenga daraja kubwa Nina Imani linaitwa Ben Mkapa Bridge, heko kwake wanahabari...
22 Reactions
114 Replies
7K Views
Mbunge wa Kawe mh Gwajima amewapomgeza Vijana wa Mabwepande waliotembea kwa miguu Dar - Bukoba zaidi ya km 1300 kwa siku 35 tu Askofu Gwajima amesema vijana hawa wa Jimbo la Kawe wamewazidi Wana...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
IMF: Kenya economy to overtake Angola-https://www.theeastafrican.co.ke/tea/business/imf-kenya-economy-to-overtake-angola-4198656
0 Reactions
4 Replies
639 Views
Mbunge wa Gairo amesema Viongozi wa Serikal Wana mtindo wa kuajiri walimu na kuwapangia vijijini kisha wanatuma vimemo wahamishiwe Mjini Shabiby amesema Utaratibu Huu siyo mzuri na ikibidi...
3 Reactions
105 Replies
8K Views
Wakuu Salam, Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni? Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...? Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81. Tizama video ya...
8 Reactions
95 Replies
8K Views
Siku moja baada ya mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA kuwakaribisha kwenye chama chake kipya waliofukuzwa CCM kwenye mkutano maalum, aliyekuwa mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba amesema amekua kwenye...
20 Reactions
141 Replies
19K Views
Bila shaka kila Mtanzania anajua madudu yanayofanyika na viongozi wengi katika Nchi hii. Kuna mambo ya Rushwa, ufisadi, ubadhirifu wa fedha za umma, uzembe makazini, wizi wa mali za umma nk. Kwa...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakati maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakisubiriwa hapo Aprili 26 mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameahirisha sherehe za...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mbunge wa Kawe mh Askofu Dr Gwajima amezuru kaburi la hayati Mkapa kijijini Lupaso Masasi Mtwara na kufagia na kuweka Shada la maua Hayati Mkapa alikuwa Rais wa JMT serikali ya Awamu ya 3...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa heshima na taadhima you need a more elite salutation before your name . Your name should be preceded by a more scholarly salutation, that is Doctor (Dr.). Avoid hizi PhD za kugawiàna kama...
15 Reactions
65 Replies
3K Views
Nilitegemea kwenye mikutano ya hadhara iliyoanza, CHADEMA wangekuja na orodha ndefu sana yenye kila aina ya ufisadi alioufanya hayati Rais Magufuli kipindi yupo madarakani, kwa sababu wamekuwa...
24 Reactions
59 Replies
7K Views
Jumapili njema Hata mjinga naye ana mawazo, mtanisamehe Kwa kweli Leo Nina Anika ujinga wangu hadharani. Ukiacha tamaa na uchu wa MADARAKA Kwa viongozi wengi wa afrika, Kuna mambo mengi sana...
2 Reactions
0 Replies
583 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…