Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali...
20 Reactions
105 Replies
8K Views
NAIBU WAZIRI JUMANNE SAGINI - MAWASILIANO YA TEHAMA YAZINGATIE USALAMA NA SHERIA ZA NCHI Akizungumza katika Mafunzo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa Mameneja wa Mikoa TANROADS Nchini na...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Wanabodi, Tangu Bunge la Bajeti lianze, Alhamisi ya leo ndio kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu anautumia muda wa kujibu maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu. Sasa kwanza wenye access kualia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya hukumu kutoka siku chache zilizopita, Leo mwanaharakati Cyprian Musiba amejibu Kama ilivyoripotiwa na Dar mpya blog kupitia mtandao wa Twitter 'Sidaiwi na sijawahi kushtakiwa Zanzibar...
5 Reactions
86 Replies
11K Views
Habari njema kuwa leo ndugu zetu Watanzania waliopo Sudan wamesafirishwa na Serikali na hivyo wameanza safari ya kuelekea nchi jirani ya Misri ili kufanya safari ya kurudi nyumbani Tanzania...
10 Reactions
85 Replies
6K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 14 leo Aprili 27, 2023. Uzalishaji wa Mafuta kwa ajili ya ngozi ya watu wenye Albinism Akijibu swali Bungeni, Naibu Waziri wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Uholanzi imeoneshwa kuridhishwa na mazingira ya biashara na uwekezaji, demokrasia, haki za binadamu na utawala bora nchini. Hayo yamebainishwa na Balozi wa Uholanzi nchini, Wiebe de Boer wakati...
0 Reactions
0 Replies
527 Views
Rais mmoja wa Marekani wakati wa mradi wa Tenesee Dam Construction aliwahi kukumbwa na upingwaji mkubwa sana na watu mbalimbali juu ya mradi ule, lakini wengi ya walio ukosoa ilikuwa ni uwoga tu...
1 Reactions
3 Replies
699 Views
Jumla ya Watanzania 200 wanatarajiwa kuwasili leo asubuhi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakitokea Sudan kufuatia mapigano yanayoendelea nchini humo baina ya kikosi cha...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Njozi ya Zitto Kabwe kugombea urais mwaka 2030 iko wazi baada ya mitandao ya kijamii kumnukuu akiweka wazi nia yake hiyo. Hata hivyo ili ashinde mbele yake ana kazi kubwa kwa kuwa anahitaji kupata...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
LEO ni siku ambayo nchi mbili huru kwa maana ya Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuzaa nchi moja Tanzania lakini nchi hiyo ikiwa na muundo wa Serikali mbili. Serikali ya Jamhuri ya Muungano na...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
CHADEMA ni chama chenye nguvu na ushawishi mkubwa Tanzania bara, ACT ni chama chenye ushawishi mkubwa Zanzibar na baadhi ya maeneo ya pwani Tanzania bara. Muungano wa vyama hivi viwili...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Kati ya Vijana wa CCM ambao wanaweza kuupata Urais mwaka 2030 bila kelele basi ni PhD Lameck Mwigulu Nchemba pekee yake! PhD MWIGULU angekuwa na akili kubwa tayari ana ngazi ya kupandia kuelekea...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Serikali imewekeza fedha nyingi sana kutoa huduma bora kwa wananchi hasa kwenye secta ya usafiri.. Ila Halmashauri ambazo zimepewa jukumu la kuzisimamia stand za mabasi zimekua zikichukua fedha...
5 Reactions
19 Replies
998 Views
Freeman Mbowe ni miongoni mwa Watu mashuhuri waliopaswa kuhudhuria Ibada ya Shukrani Kule Himo Moshi jana lakini akatoa udhuru. Wengine waliotoa udhuru ni mama Anna Mkapa aliyekuwa safarini...
15 Reactions
59 Replies
5K Views
Katika kipindi cha Medani za Siasa kilichorushwa hivi karibuni Star TV nilishuhudia Ado Shaibu, Katibu mkuu wa ACT akijibu swali la umilikaji wa Ofisi zao kijanja na kwa kona kona nyingi sana...
0 Reactions
2 Replies
481 Views
Yule Mwamba Mramba pamoja na kwamba alishwa twaliwa ila jamaa walipiga pesa enzi zao, yule mzee nina uhakika ana pesa ya ambayo hata vitukuu vya vitukuu vyake vitakula. Mramba walikuwa na...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Ningali ninaisaka ripoti kamili ya Dr. Mwakyembe kuhusiana na Law School nipate kuibukua kifungu kwa kifungu. Aliye nayo tafadhali itapendeza aki I share. Hata hivyo nimefuatilia extracts kadhaa...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani...
12 Reactions
39 Replies
6K Views
Back
Top Bottom