Tanzania yaanza kurudisha raia wake waliopo Sudan kutokana na machafuko yanayoendelea

albuluushiy

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
1,405
685
Habari njema kuwa leo ndugu zetu Watanzania waliopo Sudan wamesafirishwa na Serikali na hivyo wameanza safari ya kuelekea nchi jirani ya Misri ili kufanya safari ya kurudi nyumbani Tanzania.

Nchini Sudan usafiri wa anga umezuiwa. Kutoka Khartoum mpaka Cairo ni 2,173.9 km

mvzpx0.jpg
IMG-20230424-WA0005.jpg
0407225780eb42daa932f241f53139b8.jpg
 
Kuna escort yoyote ya kijeshi kutoka kwa Jeshi la Sudan au RSF? Maana najua bongo hatuna uwezo wa kupiga mission ya mbali na ghafla hivyo. Au wanaenda wenyewe.

Badala ya Egypt wangeweza kupitia Port Sudan ambapo hostilities sio kubwa. Ila Egypt ni uhakika zaidi ingawa nchi zinazojiweza zimepita Port Sudan.
 
Back
Top Bottom