Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na wote tunashuhudia kwa jinsi internet inavyozidi kuwa sehemu kubwa ya maisha yetu, Dunia ya sasa Internet ni hitaji moja wapo muhimu katika kuondoa ujinga, kurahisisha mawasiliano, kufanya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaa Kila Mtanzania kwa sasa...
44 Reactions
183 Replies
9K Views
Asanteni baadhi ya watanganyika mmeanza kuelewa. 1. Mambo madogo yanakuwa makubwa, Ajira ni ngumu. 2. Awamu hii mpaka kujitolea /intern ulipa hela wewe unayejitolea. 3. Mazingaombwe ya Tanesco...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwamba sisi tuaambulia $ 600+ milioni wakati wao watavuna mabilioni ya dollars kila mwaka. Madini ya graphite yanapatikana kwa wingi huko Lindi wakati niobium ipo tele pale Panda Hill Mbeya. Kwa...
12 Reactions
122 Replies
8K Views
KUMBUKUMBU;NITAONGEZA MISHAHARA KABLA SIJAONDOKA MADARAKANI-RAIS MAGUFULI. Matumaini ya wafanyakazi ya kusikia habari njema za kuongezewa mishahara yaliota mbawa baada ya Rais Dk John Magufuli...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MBUNGE MHE. EDWARD KISAU - TUMEPOKEA FEDHA ZA MIRADI YA UJENZI WA MADARASA KATIKA SHULE ZA MSINGI KONGWE JIMBO LA KITETO - TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe...
0 Reactions
2 Replies
882 Views
JIMBO LA KITETO LAPOKEA SHILINGI BILIONI 1.6 KWA AJILI YA UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita Kisau anapenda kuwafahamisha wananchi kuwa Jimbo la...
0 Reactions
1 Replies
691 Views
Kwa bashasha nilizoziona jana kwa Mawaziri wa Kazi na Utumishi kadhalika kwa Waziri mkubwa wao ni wazi Watumishi wategemee Jambo Moja Zuri leo hii Nisiseme mengi ila hapa Morogoro Matumaini ni...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Watumishi ambao ni daraja kati ya serikali na wananchi wanaisubiri hii siku kwa matumaini makubwa sana. Kundi hili lilibanwa mbavu na raisi aliyekutangulia ingawa haikuwa kwa Nia mbaya Bali...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Moja ya Jambo ambalo mataifa yaliyostaarabika wamefaulu nikuwaakikishia wananchi wake haki ya kuishi. Kwamba hakuna mtu atatoa uhai wa mtu akabaki salama; lazima tu abainike. Kwa Tanzania hali ni...
1 Reactions
6 Replies
864 Views
Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema, manufaa na kufungua fursa mpya kwa watanzania hasa kwa kuunganisha...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu. Siku nikifanikiwa kuwa kwenye...
3 Reactions
72 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa...
22 Reactions
121 Replies
8K Views
Bila ya shaka utakuwa umesikia leo taarifa ya lile daraja refu zaidi kupita bahari limefunguliwa huko China leo. Daraja hilo liitwalo Daraja la Qingdao Jiazhou lina urefu wa kilometa 42 (sawa na...
35 Reactions
515 Replies
40K Views
Ni swali tu kwa Mamlaka za mishahara za Tanzania na labda kwa wafanyakazi wenyewe, Tunatambua kwamba Tanzania ni kama vile haina Chama cha Wafanyakazi, maana viongozi wa kinachoitwa Chama cha...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Viongozi wanapopata ajali tumezoea kuona viongozi wenzake kupitia akaunti zao binafsi za mitandao ya kijamii zikitoka pole Ila kwa huyu Naibu Waziri watu wamekaa kimya. Sidhani kama inaleta...
2 Reactions
76 Replies
7K Views
Kama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji. Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts...
15 Reactions
38 Replies
3K Views
Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, alitimuliwa kwenye kazi hiyo na kushitakiwa Mahakamani kwa Uhujumu uchumi, ambako aliachiwa kwa dhamana huku kesi yake ikipangiwa...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara huko Sengerema , Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema , Ezekia Wenje amesema kwamba kila Wilaya nchini Tanzania ina DSO mwenye mafunzo yote na ina OCD mwenye...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Za ndani kabisa zinadai risala ya shirikisho la umoja wa vyama vya wafanyakazi imejaa "asante" na "pongezi" nyingi kwa mama. Yaani risala haina tofauti na ile inayosmwa na UVCCM. Vyama vya...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom