Utekaji unaweza fanyika katika nyanja mbili, Moja igizo { Drama } au utekaji halisi
Tanzania tumeshindwa Kutofautisha tukio halisi naa Igizo { Drama } hatujui kabisa maana ya Utekaji { Kidnaping...
Mgombea wa ChademaTz anapewa fomu na msimamizi msaidizi wa uchaguzi, Bi. Diana Kabondo, ambayo imejazwa kuwa hajateuliwa kugombea nafasi ya ujumbe wa mtaa, Mji wa Bariadi, kabla hata siku ya...
The minister is materially wrong to put the case of the soldiers who were killed by the assailants and Azory Gwanda who was kidnapped treacherously by the people who presented themselves so...
Kama kawaida yet u watanzania kila baada ya miaka 5 ufanyika uchaguzi mkuu wa Urais,Ubunge na Udiwani,
Mwaka 2015 umefanyika uchaguzi uliomuacha Magufuli kileleni kwa kura 8,000,000 za...
Nilijiuliza sana
Hivi zile clip za maongezi ya Lissu na Baadhi ya watendaji wa Accacia alizipata wapi?
Nikapotezea
Nikajuliza Clip za Anna Kilango kazipata wapi?
Juzi nikasikia kwamba ana voice za...
Mchambuzi wa masuala ya siasa Kaiza Buberwa amebainisha kuwa nchi inaendelea kukabiliwa na changamoto za kisiasa kwa sababu watawala wamekuwa wakiahirisha matatizo badala ya kuyapatia ufumbuzi wa...
Kupitia mambo mengi yanayoendelea nchini kwetu, mengi yanazungumzwa tena Kwa Ushabiki,
Ninawaza kwamba hivi kwanini tusiwe na Azimio la Chato ambalo litazungumza haya
1.Mtanzania huruhusiwi...
Hii inaanzia Kwa mkubwa alafu Kwa kina Jerry Muro, Makonda, na Happi wa Iringa
Kufoka foka sio kipimo cha Utendaji bora....Na wala sio kila anayefokewa atawajibika kwa ufasaha kutekeleza...
“KAFITI HATOSHI ILEMELA?”KAULI YA RC MWANZA KWA KAFITI “KUKALIA KITI NUNUSU”.
Siku chache zilizopita Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, alitoa kauli yenye mashaka na utata ndani yake kuhusu...
Nafikiri nitaeleweka kirahisi.
Tujadili kuhusu; Commission of Inquiry into the Post-Election Violence (CIPEV), chini ya Jaji Philip Waki,
Waki Commission (Tume ya Waki) iliundwa kwa tangazo la...
Mambo hayaendi kabisa halishikiki jambo, Mafaili yamejichanganya sana,
La Kina Makamba halijafanyiwa kazi
La Morogoro bado
La Report ya Uchumi
La Mali za Chama
La Bandari Mpya mtwara
La Usumbufu...
The only thing that can cast out hate is love among Tanzanians,
Magufuli being tyranny direct means CCM's tyrannos might prevail if we don't be careful
We remember that CCM made mistakes and...
Deni limekuwa likilipwa vizuri tu, ila awamu ya 5 wakawa wajuaji jamaa akachomoa waya terminal huko S.A.
Sijui atakuwa ni kabudi kashauri waache?
Hata E-mail inaeleza aloandikiwa Kabudi na Mdai...
Inaonekana wazi wazi kuwa asilimia kubwa ya wafanyakazi na wateule wa Rais wanamtukuza kiunafiki,
Nchi yoyote ambayo ilijenga utaratibu wa kumtukuza Rais au kiongozi wake haikusimama
Tumpongeze...
Ni Kama kausahau unafiki wa Watanzania,
Hawa hawa kina Lemutuz na Makonda walikuwa wananyenyekea Kwa Kikwete lakin wamepata muabudiwa mpya
Usishangae Mwaka 2026 akiwa amekubali kuachia madaraka...
Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia...
Mimi ni Amos Ngosha, ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vyombo vya Habari vya Utangazaji Tanzania. Huu ni umoja wa vyombo vya habari vyenyewe, sio wamiliki wa vyombo vya habari.
Kwanza tunasema kuna ule...