Kama tulivyosema awali, huku tukiomboleza, lakini na mengine muhimu sana nayo yaendelee , Basi ndio hivyo hivyo tunavyofanya.
Huko Makambako mambo ni motomoto, hivi ninavyoandika hapa shughuli...
Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu.
Sitaki kusema mengi ila huu uzi tutaurejea miaka...
Unajiuliza waliwezaje kupokea pesa za Covid-19 na kudai wanazipeleka kwenye kujenga madarasa mengine wanaweka na tiles na ac?
Wanaacha watoto wadogo wanakufa kwa kukosa matibabu na bima...
Ndugu wadau
Wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidizi wa Katibu mwenezi wa Polepole...
Huyu Ni waziri wa kazi nchini Sweden, moja Kati ya nchi zilizoendelea.
Hapa akiwa katika kituo Cha garimoshi anasubiri gari Moshi arudi nyumbani kutoka kazini kwake.
Amenunua "Baga" Kama chakula...
Aisee hali ni tete ndani ya kile chama kilichotamba kwa miaka mingi kuwa ni chama chenye umoja, mshikamano, chenye kuheshimu utu na watu.
Sasa ni mambo ya kuviziana tu. Imefika mahali mwanachama...
Serikali imesaini mkataba ambapo itatoa ruzuku ya Shilingi Bilioni 200 Ili kufikosha Mawasiliano Vijijini
Sambamba na Hilo mh.Rais katoa maagizo 8 Ili kuhakikisha zoezi la kujenga Minara...
Katika nchi zilizostaarabika kifo cha mtu huhitimishwa kwa postmortem (kujua kamili chanzo cha kifo) na inquest ambapo ofisi ya Coroner huhhsika. Kifo hakiishii na mambo ya tiba peke yake.
Mtu...
Akizungumza mbele ya Maelfu ya Wananchi wa Kata ya Igawilo , Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini John Mwambigija , Amedai kwamba , Kufanya vibaya kwa timu ya soka ya Mbeya City kumechangiwa na tamaa...
Passport ya Tanzania unapata ndani ya siku moja baada data kuingizwa kwenye mtambo. Benki kadi unapata ndani ya masaa kadhaa, najiuliza hii kadi ya NIDA ina teknolojia gani ngumu hadi ukae mwaka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya utiaji saini Mikataba ya miradi ya kufikisha huduma za mawasiliano ya Simu katika kata 763 nchini katika Ukumbi wa...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Membe alikuwa na exposure na ndio iliyomfanya asiwe Mtu wa Kukasirika na wakati mwingine alipokasirika alionesha Tabasamu tu
Mbowe anasema pamoja na...
MEMBE NA KATIBU KATA KIJIJI CHA RONDO VIDEO CLIP YAO YAVUJA
Zaidi soma;
https://www.jamiiforums.com/threads/bernard-membe-sauti-iliyodukuliwa-na-kusikika-ni-ya-kwangu.1611933/
Kuliwahi kuzungumzwa sana tena hasa hapa JF kwamba Rais mstaafu wa wamu ya nne Jakaya Kikwete na Bernard Camilius Membe ni Ndugu wa damu wengine wakidai Mama Salma Kikwete na Membe ni ndugu...
Hii ndio Taarifa Mpya kutoka kwenye familia yake , kama ilivyotolewa na Msemaji wa Familia hiyo Jaji Mustafa Ismail nyumbani kwake Mikocheni , Nje ya Jiji la Dar es salaam .
Imeelezwa kwamba...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) nchini Tanzania, imetahadharisha wafanyabishara kutojihusisha na vitendo vya rushwa, kupitia dhana ya ufadhili wa gharama za uchaguzi...
Chama cha ACT Wazalendo kimeadhimisha miaka 9 ya kuzaliwa kwake wakati huu ambapo kimekumbwa na misiba mitatu mikubwa ya waliowahi kuwa viongozi na wagombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania na...
Dar es salaam mpaka Morogoro ni umbali usiozid kilometa mia mbili lakini muda unaotumika kwa sasa hasa mabus ya Abiria ni masaa manne mpaka matano.Hii haina tija kwa uchumi wa nchi.
Ni lazima...
Kwa kukubali viongozi wa dini kumvaa na kwa uhakika ni kwa ushawishi wa askofu shoo rais samia ameonyesha udhaifu mkubwa.
Gharama kiasi gani zimepotea kuendesha kesi dhidi ya Mbowe? Kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.