Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Fuatilia mdahalo huu kwa faida yako na faida ya watoto wako. https://www.youtube.com/live/ns5m5m5-20o?si=hLRnoSO87jjQU2b0
3 Reactions
32 Replies
375 Views
CCM haiwezi kulala, Rais wa nchi asingekuwa anakaa kwenye vikao vya kawaida vya shina kusikiliza wanachama. Chama kinatuma ujumbe mkubwa kwa wanaodhani chama kimepoteza mwelekeo.
4 Reactions
13 Replies
260 Views
Chadema ni Imani. Imejengwa kwa imani katika mioyo ya watu, including me and you!
8 Reactions
10 Replies
250 Views
Wanabodi, Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM. Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!. Wakati Comred Kinana...
20 Reactions
63 Replies
4K Views
Dar es salaam, Zaidi ya mabasi ya Mofat 150 yamekwama kwa zaidi ya nusu mwaka bila kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, jijini Dar es Salaam. Hali hii imeibua mjadala mpana kuhusu ufanisi wa...
4 Reactions
66 Replies
1K Views
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mapema leo Shekhe Said Mwaipopo amewataka wale wanaoshutumu viongozi wa ulinzi na usalama katika utekelezaji wa kazi zao hasa katika kipindi...
1 Reactions
9 Replies
242 Views
Rais Samia akihitimisha Mafunzo ya Uongozi Ngazi ya Juu Kozi Namba 28 na Uongozi Daraja la Pili Kozi Namba 48 kwa Mwaka 2025/2026 katika Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, tarehe 09 Mei...
5 Reactions
7 Replies
254 Views
Ameonekana kwenye Mitandao yake ya kijamii akifurahishwa na alichokiita kufunguliwa kwa Demokrasia, huku akisifu Hoja za CHADEMA na kushangazwa na Mkutano wa chadema kuhudhuriwa na. Watu wote...
7 Reactions
13 Replies
535 Views
Vijana waliojitambulisha kama Wakenya wakimsifia Rais Samia. Hebu wasikilizeni na nyie Viongozi wa Malawi wanatafuta sana legitimacy. Inatia aibu sana
1 Reactions
5 Replies
173 Views
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Mbeya, ambayo tumeona ni vema kuwashirikisha Baada ya Bilionea Joseph Mbilinyi kutangaza uzinduzi wa Mikutano ya hadhara ya CHAMA chake Mjini Uyole, baadhi ya wanaccm...
4 Reactions
15 Replies
330 Views
Hatimaye Apostle Boniface Godwin Mwamposa (Bulldozer) uvumilivu imemshinda. Tundu Lissu yupo Gerezani, Samia kupitia tume alounda Kakiri kaua watu 500 ili awe Rais. Hata kabla ya kugombania...
9 Reactions
40 Replies
916 Views
Msigwa amejitapa kuwa dunia ya sasa ipo juu kiteknolojia. Ndio maana waliomkamata wametiwa mbaroni na polisi. Haya sasa hivi ni zaidi ya masaa 24 kwq nini hawajap3lekwa mahakamani kwa mujipu wa...
3 Reactions
11 Replies
281 Views
My Take Safi sana ni mwendo wa kusogeza Huduma Kwa Wananchi,wanaozubaa wacha wazubae. Ni aibu Kwa Nchi kama Zanzibar ambayo ni kitovu Cha Utalii Tanzania kushindwa kuwa na hospital Bora za...
1 Reactions
18 Replies
372 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewataka Maafisa Habari, Itifaki, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kufikisha taarifa...
2 Reactions
3 Replies
221 Views
Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia. Ile stand ilitengenezwa...
14 Reactions
31 Replies
749 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amefunguka kuelekea mkutano wa chama cha Chadema amesema kwamba Godbless Lema ni mkuu wa masoko...
2 Reactions
4 Replies
211 Views
Hamjambo! 1. Kuwanyoosha vijana ni jukumu la wazazi, walezi na Mahakama. 2. Msingi Mkuu wa Malezi na kunyoosha Tabia ni kwa Viongozi na wazazi ambao hapa watakuwa role model kwa vijana wao 3...
8 Reactions
94 Replies
962 Views
Taarifa iliyotolewa na viongozi wa Kanda hiyo wametangaza kuzindua mikutano yao tarehe 13/5/2026 Cha kufurahisha ni Kwamba uzinduzi wa Mikutano hiyo utafanyika kwenye uwanja ambao Tundu Lissu...
6 Reactions
20 Replies
421 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu, katika gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia maisha ya kisasa, na mambo ya kisasa, pesa ndio kila kitu!, siku hizi hakuna cha bure!, kwanini mpaka leo habari ni...
9 Reactions
45 Replies
644 Views
Balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman, amesema pamoja na changamoto zilizojitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, bado Tanzania inaendelea kuwa mshirika muhimu wa Marekani...
3 Reactions
38 Replies
624 Views
Back
Top Bottom