Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu. Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya...
50 Reactions
141 Replies
11K Views
JE WAJUA? SIMU YAKO INAWEZA KUKUJULISHA KITUO CHAKO CHA KUPIGIA KURA? Kwa simu yako bofya namba *152*00# kisha chagua namba 9(Uchaguzi Mkuu), kisha chagua namba 1(Uhakikiwa Taarifa za Mpiga Kura)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimemsikiliza Godbless Lema akihojiwa na Dw kuwa kuna kundi la vijana 200 wamepelekwa Arusha ili wakakipigie kura CCM. Anadai amewaona. Sasa kama mgombea ubunge umeona tukio kama hili kwa nini...
25 Reactions
89 Replies
6K Views
Umoja wa Mataifa watoa wito kwa viongozi wa kisiasa na wafuasi wao kujiepusha na visa vya vurugu nchini Tanzania Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Tanzania kuhakikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam. Niliamua kujivinjari maeneo...
39 Reactions
146 Replies
19K Views
Hii ndio habari mpya inayozunguka Mjini Mbeya kwa sasa
16 Reactions
43 Replies
6K Views
Tume ya Uchaguzi leo imewaapisha mawakala watakaosimamia zoezi la kuhesabu kura za wagombea Urais. Katika zoezi hilo wakala wa ACT Wazalendo hakuwepo ukumbini na ikaelezwa baadae kuwa ACT...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Niseme kwa dhati kabisa bila kumung'unya maneno mimi nakubali sana utendari wa dk magufuli amefanya mambo makubwa sana na ameonyesha njia. Mfano nzuri tu ni mradi wa Rufiji hapa nampongeza kwa...
28 Reactions
49 Replies
4K Views
Rais Magufuli ametangaza rasmi kuwa kesho Oktoba 28, 2020 itakuwa ni siku ya mapumziko ya Kitaifa ili kuwapa fursa Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura kwenda kupiga kura "nawaomba tukapige...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau. Nimeona Watumishi wa Serikali kwa asilimia kubwa ndiyo wasimamizi wa Uchuguzi Mkuu 2020. Hawa tayari wana ajira na juzi tu wamepata mshahara. Kwa nini vijana walio mtaani (graduates)...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Aliyekuwa Katibu wa uenezi wa CCM na baadae kuachiwa jimbo la Mtama na Membe ili awe mbunge na Membe awe Rais, ndugu Nape Nauye amesema upinzani umerudia kosa lile lile walilofanya mwaka 2015 kwa...
4 Reactions
82 Replies
10K Views
Yamebaki masaa machache kabla hatujaenda kujipanga katika foleni kuelekea katika masunduku ya kupigia kura. Hili kila mtu mwenye akili timamu analipatia uzito wa kipekee kwani ndio muamuzi wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika (AU), Moussa Faki Mahamat, ametoa wito wa uchaguzi wa amani, wenye kujumuisha kila mmoja na wa haki nchini Tanzania. Ametoa wito kwa washikadau wengine, Vyama vya...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wandungu, kesho mkiona watu wamejitokeza kwa wingi kupiga kura, basi mtambue hiyo ni dalili ya mapema kabisa kuwa Lissu na wagombea wengine wa upinzani wanakwenda kupata kura nyingi na za ushindi...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais wa CCM na CCM yake, na polisi wake na wateule wake na vyombo vingine vya kisheria na dola, hawaamini katika demokrasia. Wao wakisikia Chadema wanachukulia kama ni waasi au magaidi. Kwa hiyo...
82 Reactions
395 Replies
34K Views
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono, ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm...
18 Reactions
73 Replies
9K Views
Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita Kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa...
7 Reactions
104 Replies
14K Views
Waungwana, Chunguzeni leo hii nchi zote ambazo ni kinara wa mfumo wa Serikali za majimbo (federal government) duniani ni nchi ambazo zilikuwa zinakabiliwa Sana na tatizo la kukosa umoja wa...
13 Reactions
206 Replies
16K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasichague kiongozi kwa sababu ya jazba au hasira. Ametoa wito huo leo...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Licha ya kwamba Rais Magufuli hajafanya vizuri katika suala la ajira ila binafsi bado nna Imani naye kuelekea tarehe 28/10/2020 hivyo anastahili kupewa miaka mitano tena katika utawala wake...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom