Uchaguzi 2020 Umoja wa Afrika watoa wito wa Uchaguzi wa Amani, wenye kujumuisha kila mmoja na wa haki nchini Tanzania

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,270
2,000
MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika (AU), Moussa Faki Mahamat, ametoa wito wa uchaguzi wa amani, wenye kujumuisha kila mmoja na wa haki nchini Tanzania.

Ametoa wito kwa washikadau wengine, Vyama vya Kisiasa na wafuasi wake kushiriki uchaguzi kwa amani na kujizuia kufanya vitendo vyovyote vya ghasia.

Ameendelea kuisihi serikali kuhakikisha mazingira mazuri yanayowezesha raia kupiga kura zao kwa njia salama na ya amani.

Pia amekumbuka safari ya kupigiwa mfano ya Tanzania katika utekelezaji wa demokrasia na amani na kutoa wito uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020, kuwa fursa mpya ya kuimarisha demokrasia na amani nchini humo.

AU umepeleka wataalamu wa uchaguzi nchini Tanzania kuanzia Oktoba 22 hadi Novemba 3, 2020 unaoongozwa na Goodluck Jonathan, aliyekuwa rais wa Nigeria.

20201027_163505.jpg
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,077
2,000
Hongera kwa AU.
Tatizo ni Utawala tulonao. Ushauri kama huu Magufuli na CCM watasema ni wa MABEBERU na aliyeandika anatumiwa na Mabeberu.....Ni shida!!!
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
48,215
2,000
Umoja wa Afrika watoa wito wa uchaguzi wa amani Tanzania

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat ametoa wito wa uchaguzi wa amani, wenye kujumuisha kila mmoja na wa haki nchini Tanzania.

Mwenyekiti ametoa wito kwa washikadau wengine, vyama vya kisiasa na wafuasi wake kushiriki uchaguzi kwa amani na kujizuia kufanya vitendo vyovyote vya ghasia.

Aliendelea kusihi serikali kuhakikisha mazingira mazuri yanayowezesha raia kupiga kura zao kwa njia salama na ya amani.

Bwana Mahamat amekumbuka safari ya kupigiwa mfano ya Tanzania katika utekelezaji wa demokrasia na amani na kutoa wito uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 kuwa fursa mpya ya kuimarisha demokrasia na amani nchini humo.

Umoja wa Afrika umepeleka wataalamu wa uchaguzi nchini Tanzania kuanzia Oktoba 22 hadi Novemba 3, 2020 unaoongozwa na mheshimiwa Goodluck Jonathan, aliyekuwa rais wa Nigeria.

1603824606752.png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom