January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

Status
Not open for further replies.

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Mimi nimesoma na JM pale Galanos sec Tanga mwanzoni wa miaka ya tisini. Huyu bwana matokeo yake ya form four yalifutwa baada ya kugundulika aliiba paper. Baada ya hapo baba yake akamfanyia mpango kwenye shule nyingine nadhani Forest. Wezi wa paper ndio leo wanashika nchi unategemea nini? Kama JM ana ubavu abishe.

Nimesoma Galanos; headmaster alikuwa Kinala, second mistress alikuwa Mama Msemwa. Matokea yalipotoka January Makamba matokeo yake yalifutwa. Headmaster Kinala alitutangazia parade kuwa alifanya cheating ndio maana matokeo yakafutwa na akaonya watu wenye tabia hizo.
Najua January nitamkamatia wapi.Akipata uwaziri tu ndio nazungumza na waandishi wa habari. Hatuwezi kuongozwa na wezi wa mitihani.
 
Mimi nimesoma na JM pale Galanos sec Tanga mwanzoni wa miaka ya tisini. Huyu bwana matokeo yake ya form four yalifutwa baada ya kugundulika aliiba paper. Baada ya hapo baba yake akamfanyia mpango kwenye shule nyingine nadhani forest. Wezi wa paper ndio leo wanashika nchi unategemea nini? Kama JM ana ubavu abishe.

Ingia hapa usome kilichotokea, instead of smearing nasty rumors babu. January Makamba.com
 
Mimi nimesoma na JM pale Galanos sec Tanga mwanzoni wa miaka ya tisini. Huyu bwana matokeo yake ya form four yalifutwa baada ya kugundulika aliiba paper. Baada ya hapo baba yake akamfanyia mpango kwenye shule nyingine nadhani forest. Wezi wa paper ndio leo wanashika nchi unategemea nini? Kama JM ana ubavu abishe.
Kaniambia anabisha.
 
usitetee usichokijua. ili ujue nimesoma Galanos headmaster alikuwa kinala, second mistress alikuwa mama msemwa. matokea yalipotoka January Makamba matokeo yake yalifutwa. Headmaster Kinala alitutangazia parade kuwa alifanya cheating ndio maana matokeo yakafutwa na akaonya watu wenye tabia hizo. Ninashangaa mtu anasema ni rumour ina maana mkuu wa shule alikuwa anazungumza kwa rumour? najua january nitamkamatia wapi. akipata uwaziri tu ndio nazungumza na waandishi wa habari. hatuwezi kuongozwa na wezi wa pa
 
Nakupa shavu mkuu . Toboa toboa hawa watu ndo wanatuibia mahela mengi na bado wanashindwa kuwa pa watoto wao elimu ya halali. wamezoea kila kitu ni wizi wizi.Hii nchi inaongozwa na vizazi vichafu na vinaridhisha watoto wao uchafu na wizi wa mali ya umma. Kizazi cha watoto wa vigogo lazima kizuie kuongoza nchi kwani tunataka tuanze na kizazi tofauti kisafi.
 
Nime-visit hiyo website ya January Makamba.com na hiki kipande inasema hivi;
I was expected to do well at national secondary education exams. I chose to pursue CBA – Chemistry, Biology and Agriculture – as my "combination" for High School studies. The main reason for this choice was that it was an exclusive and a highly competitive combination. There was only one high school – Kibaha Secondary School – in the country taking only 34 students for this combination. So, I chose this because it was hard to get to high school on this. I was thrilled and moved by the challenge. So, we did our exams – and the day to go and look for the result came. And, to the shock of friends and family and teachers, my name was not there in the results sheet. I felt like collapsing. I went to another result centre thinking that there was a mistake – again, nothing. Inquiries to the reasons were not responded to immediately. Later we learnt that I was mistakenly linked to a cheating scam that one of the teachers was involved in. I was a pawn in a terrible mistake. A really long and painful story. So, what was the alternative? To resit the exams. I quickly registered as private candidate and pursued High School studies at Forest Hill High School on a tentative basis while resitting – so that when I get my results I can proceed on to Form Six. It was such a task, but I succeeded

Daa! Mi nahisi jamaa aliiba pepa. Kama baba yake alikuwa mtabe kiasi hiki kweli angekubaki mwanawe asingiziwe? I doubt
 
Huyu january ndio alikua anaandika speech za Jk!
Ngoja ntafute fedha ntahakikisha mkoa niliopo unajitenga na JMT.Ni upuuzi kuongozwa na mbumbumbu.
 
Nime-visit hiyo website ya January Makamba.com na hiki kipande inasema hivi;
I was expected to do well at national secondary education exams. I chose to pursue CBA – Chemistry, Biology and Agriculture – as my “combination” for High School studies. The main reason for this choice was that it was an exclusive and a highly competitive combination. There was only one high school – Kibaha Secondary School – in the country taking only 34 students for this combination. So, I chose this because it was hard to get to high school on this. I was thrilled and moved by the challenge. So, we did our exams – and the day to go and look for the result came. And, to the shock of friends and family and teachers, my name was not there in the results sheet. I felt like collapsing. I went to another result centre thinking that there was a mistake – again, nothing. Inquiries to the reasons were not responded to immediately. Later we learnt that I was mistakenly linked to a cheating scam that one of the teachers was involved in. I was a pawn in a terrible mistake. A really long and painful story. So, what was the alternative? To resit the exams. I quickly registered as private candidate and pursued High School studies at Forest Hill High School on a tentative basis while resitting – so that when I get my results I can proceed on to Form Six. It was such a task, but I succeeded

Daa! Mi nahisi jamaa aliiba pepa. Kama baba yake alikuwa mtabe kiasi hiki kweli angekubaki mwanawe asingiziwe? I doubt

Mbona hapa ni kama anakiri kinamna?

Halafu hii kweli ndiyo English anayoandika Speech Writer wa President of the Great Country of Tanzania? My std 3 child would be ashamed of writing such poor English
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom