ukara
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 284
- 168
Tumenyanyaswa kiasi cha kutosha
Tumedharauliwa kiasi cha kutosha
Tumepuuzwa kiasi cha kutosha
Tumedhihakiwa kiasi cha kutosha
Tumefukarishwa kiasi cha kutosha
Tumedhalilishwa kiasi cha kutosha
Tumeonewa kiasi cha kutosha
Tumenyonywa kiasi cha kutosha
Tumefanywa kichwa cha mwendawazimu kiasi cha kutosha
Tumedharauliwa kiasi cha kutosha
Tumepuuzwa kiasi cha kutosha
Tumedhihakiwa kiasi cha kutosha
Tumefukarishwa kiasi cha kutosha
Tumedhalilishwa kiasi cha kutosha
Tumeonewa kiasi cha kutosha
Tumenyonywa kiasi cha kutosha
Tumefanywa kichwa cha mwendawazimu kiasi cha kutosha