Wabunge wetu: Kesho huyo mpendwa wetu DP World mpeni tu bandari kavu zetu zote. Hizo bandari maji aachane nazo, tutaziendeleza kwa pesa yetu

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,953
4,326
Huyo DP World ni gwiji sana wa bandari kavu. Huko Rwanda kawafanyia maajabu hadi inasemekana wamezipita baadhi ya bandari maji barani Afrika.

Mpeni exclusive ownership za bandari kavu zetu zote. Masharti mengine ya mkataba yanaweza baki kama yalivyo isipokuwa pale inaposomeka bandari maji isomeke bandari maji. Hizo bandari maji atuachie tutaziendeleza wenyewe kwa pesa yetu ya madini na ya mikopo nafuu.
 
Vizuri kuwa na msimamo..
DP hawafai ni wezi au Dp wamefanya makubwa huko Rwanda?
Which is which?
Una maana Kagame pia kauza nchi yake Kwa waarabu??
 
Vizuri kuwa na msimamo..
DP hawafai ni wezi au Dp wamefanya makubwa huko Rwanda?
Which is which?
Una maana Kagame pia kauza nchi yake Kwa waarabu??
Kagame ni landlocked, hivyo DP World hawawezi kupata madhara yo yote kutokea bandari kavu.
 
tumekosa viongozi wabunifu na wanaofikiria tumepata watu wasiojielewa daah inauma sana basi tu
 
Back
Top Bottom