Sisi umoja wa wezi wasitaafu wa kuku za Wananchi wenzetu, wezi wa unga na mchere dukani Kwa mangi, umoja wafungwa wa kusingiZiwa na watumishi wa jeshi la polisi ambao nao wamekuwa vinara wa...
Nimesoma mtandaoni kuhusu taratibu za kisheria zinazotakiwa kufuata ili kumuondoa DPP ofisini, ambapo sheria imetamka wazi kuwa DPP hapaswi kuondolewa ofisini isipokuwa tu kama ana tatizo la...
Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu.
Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge.
Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa.
Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni...
Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio...
Tunataka Katiba Mpya ya kuwawajibisha viongozi sio hii ya kuwalinda wanapobainika wamefuja fedha zetu. Tulishuhudia kashifa ya Richimond ilivyomwondoa aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa ilikua...
Habari, nawiwa kutoa ushauri wangu wa kitaalamu leo hii (techictal advisory) kwa Mwenyekiti Mbowe na Kamati nzima ya uongozi wa CHADEMA.
Kwa hali ilipofikia sasa, reconciliation yaani munganiko...
Katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaitaka Bodi ya Wadhamini ya Chama kufanya mikutano isiyopungua mitatu kila mwaka.
Hata hivyo, nilibaini kuwa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha...
Kutokuwa na utambuzi wa Chama chao cha Chadema, ilhali na kesi ikiwa inaendelea mahakamani.
Haizuii kuwapongeza pale wanapoibana mamlaka kwa hoja na maswali yenye tija kwa wananchi huko Bungeni...
NANCY HASSAN NYALUSI - AMEIULIZA MASWALI WIZARA YA NISHATI, BUNGENI, DODOMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Hassan Nyalusi amemuuliza swali Waziri wa Nishati Bungeni, Dodoma leo...
Rais wa nchi, Mh. Samia Suluhu Hassan, ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala wa Taifa letu pamoja na changamoto kibao zinazolikumba Taifa hili kwa sasa...
Kwenye mazingira ambayo wengi wanalalamikia hali ngumu ya uchumi, na hata katika ugumu huo wanatozwa kodi na tozo, halafu anapatikana wa kula pesa hiyo iliyopatikana kwa taabu, na watoaji wa pesa...
Ukiacha barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi ni barabara gani nyingine ameijenga? Uwanja ndege wa Chato? Miradi mingi aliyoanzisha siyo feasible economically.
SGR Mwanza ina faida gani...
Baadhi ya wanawake katika mtaa wa Maramba Mawili kata ya Msigani katika manispaa ya Ubungo wanalazimika kupitia kwa kutambaa katika kivuko kinachotenganisha mtaa wa Zebra na Azimio kufuatia...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)amebaini kasoro katika vyama vya siasa vikiwamo visivyo na bodi za wadhamini zenye ufanisi.
Vyama hivyo ni pamoja na Chama cha Demokrasia na...
Mzee Makamba na Katibu Mkuu Mstaafu wa ccm amehoji kama kuna mtu ana mashaka tena na uweso wa kiutendaji wa Rais Samia kulingana na hatua Anazochukua.
Makamba amesema sio Haki kumfundisha kazi...
Pamoja na mazuri ninayohisi yamefanywa na CAG, najiuliza ni nani anayemkagua katika utendaji wake?
-------- Michango-------
SubiriJibu anasema,
Mleta mada,
Ukiachilia mbali wanaokubeza kwa...
Ripoti ya CAG mwaka 2017- 2018 ilibaini kuwa TTCL ikiidai Wizara ya Ujenzi, Uchukuz na Mawasiliano rakribani Bilion 20.63 kama marejesho ya gharama za ujenzi wa mkongo wa Taifa.
2021 CAG Report...
Moja kwa moja niende kwenye mada, leo nimebahatika kuangalia uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na mh.Mnyika!
Uchambuzi sina shida nao tatizo ni yale mazingira ilipo fanyika press. Yani...
Kuna ulazima gani kamati za Bunge kusubiri hadi mwezi August ndio wawaite na kuwahoji waliotajwa kwenye ripoti ya CAG?
Halafu Wananchi tusubiri hadi mwakani kujulishwa kilichojiri 2021/2022...