Mbunge wa Gairo amesema Viongozi wa Serikal Wana mtindo wa kuajiri walimu na kuwapangia vijijini kisha wanatuma vimemo wahamishiwe Mjini
Shabiby amesema Utaratibu Huu siyo mzuri na ikibidi...
Wakuu Salam,
Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni?
Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...?
Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81.
Tizama video ya...
Siku moja baada ya mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA kuwakaribisha kwenye chama chake kipya waliofukuzwa CCM kwenye mkutano maalum, aliyekuwa mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba amesema amekua kwenye...
Bila shaka kila Mtanzania anajua madudu yanayofanyika na viongozi wengi katika Nchi hii.
Kuna mambo ya Rushwa, ufisadi, ubadhirifu wa fedha za umma, uzembe makazini, wizi wa mali za umma nk.
Kwa...
Wakati maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakisubiriwa hapo Aprili 26 mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameahirisha sherehe za...
Mbunge wa Kawe mh Askofu Dr Gwajima amezuru kaburi la hayati Mkapa kijijini Lupaso Masasi Mtwara na kufagia na kuweka Shada la maua
Hayati Mkapa alikuwa Rais wa JMT serikali ya Awamu ya 3...
Kwa heshima na taadhima you need a more elite salutation before your name . Your name should be preceded by a more scholarly salutation, that is Doctor (Dr.).
Avoid hizi PhD za kugawiàna kama...
Nilitegemea kwenye mikutano ya hadhara iliyoanza, CHADEMA wangekuja na orodha ndefu sana yenye kila aina ya ufisadi alioufanya hayati Rais Magufuli kipindi yupo madarakani, kwa sababu wamekuwa...
Jumapili njema
Hata mjinga naye ana mawazo, mtanisamehe Kwa kweli Leo Nina Anika ujinga wangu hadharani. Ukiacha tamaa na uchu wa MADARAKA Kwa viongozi wengi wa afrika, Kuna mambo mengi sana...
Ndugu zangu watanzania,
Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais Samia na serikali yake ya CCM amefanikiwa kwa kiasi kikubwa Sana katika kuleta Amani na utulivu katika mioyo ya watanzania,watu...
Mh Judge Biswalo ni kiongozi muadilifu, mchapakazi, mtenda haki.
Aliopokuwa DPP aliifanya kazi yake kwa weledi mkubwa. Alihakikisha mafisadi wanaonja uchungu wa kuiba mali za watanzania bila...
Jana Jumamosi 15/04/2023 Waziri Mkuu alikuwa Zanzibar akizindua kitabu cha taarifa ya Sensa iliyopita, kwenye uzinduzi huo walikuwepo wananchi ukumbini ambao walikuwa wakipepea bendera za taifa...
Tumeona katika ripoti ya CAG kuwepo kwa mdafudu mengi na hasa katika mashirika ya Umma, jambo hili pamoja na mambo mengine limesababishwa na yafuatayo;
MOSI:
Mashirika kunyanganywa uhuru wa...
Tunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda ovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa...
Mzee Kawawa alikuwa mbunge wa Liwale ( ukweni) na akasemwa sana amesahau kwao Songea
Vita Kawawa ( mwanae) ndio karudi nyumbani Namtumbo na kaukuta Umaskini Ule Ule wa mwaka 47
Mimi nampongeza...
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Mzalendo wa kweli daima anaweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma.
Kwa maana hiyo hapo juu, mzalendo...
Mbowe anasema Watumishi Umma wachunguzwe maisha wanayo ishi kama Yana ualisia na mishahara tunayowalipa?
Mimi nitakuwepo kwenye Maandamano ya ACT wazalendo nashauri yalindwe na Polisi wasio na vyeo.
Leo Bungeni wakati wa maswali na Majibu, Kuna swali lililohusu mabadiliko ya mitaala ya Elimu ili kuendana na hali ilivyo.
Naibu waziri wa elimu alikiri kuwa mfumo wetu wa Elimu uliopo haumsaidii...
DITOPILE AUNGANA NA WANA CHAMWINO KWA IFTAR, WAMUOMBEA DUA RAIS SAMIA
Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameungana na...
Mbunge wa Viti Maalum Wanawake (UWT) Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza ametoa Tracks Sut 64 na Pedi 128 zenye thamani ya Milioni 1,600,000 kwa Wanafunzi wakike 64 waliounguliwa na Bweni...