Mzalendo wa kweli

Mzalendo wa kweli

Joined
Apr 10, 2023
Posts
11
Reaction score
15
images%20(2).jpg

Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Mzalendo wa kweli daima anaweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma.

Kwa maana hiyo hapo juu, mzalendo ni mtu yeyote mzawa na mwenye kuipenda na kujitoa mhanga na saa nyingine ikibidi kufa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unabeba dhana nyingi sana ikianzia asili, utamaduni, lugha, siasa, historia, nk. Dhana zote zikifungwa kwenye dhana kuu ya utaifa.

SIFA ZA KUWA MZALENDO
Ili mtu aitwe mzalendo ni lazima awe na sifa hizi. Kuzaliwa nchini na angalau mzazi mmoja au wote wawili wawe ni wazawa. Kuona fahari yeye kuzaliwa nchini bila kuona aibu wala haya
Ni lazima awe mwaminifu wa kulipa kodi, kutoibia nchi kwa njia yeyote.
Kutokuwa mharibifu au mvujaji wa mali na rasilimali za nchi

Kuwapenda watu wote, hata viongozi wanaoijenga nchi bila kujali uchama, udini, ukabila wala rangi yake.
Kuwapiga vita na kuwapinga kwa nguvu zote raia wote wanaobomoa na kuharibu nchi hata kama ni wa chama chake, dini yake, kabila lake, rangi yake au ndugu na jamaa zake.

Kusaidiana na viongozi wake kuijenga nchi bila kujali uchama, udini, ukabila wala rangi yake. Kuweka juhudi kubwa katika kuisema na kuitangaza nchi yake vizuri ndani na nje ya mipaka yake.
Kupenda vitu vinavyoihusu au kutoka au kutengenezwa nchini mwake kama lugha, utamaduni, vyakula, bidhaa za viwanda, timu za michezo, wana michezo wake, na kila kitu kizuri kinachotokana na nchi yake.

Kuwafundisha na kuwahamasisha watu wake wa karibu kama familia, ndugu, majirani na marafiki kuwa wazalendo kwa kuipenda na kujitoa kwa ajili ya nchi yao.

TUIGE MIFANO YA WAZALENDO WA KWELI
Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anaweza kuwa mfano mzuri wa Mtanzania Mzalendo kwani anaingia katika sifa zote 10 hapo juu.

Edward Moringe Sokoine pia anawekwa kwenye orodha ya watanzania wazalendo ambao kwa kweli waliipigania hii nchi na watu wake na rasilimali zake hata na kupoteza maisha yake,

HITIMSHO
Kuwa mzalendo ni zaidi ya kuifia nchi yako. Kwa sababu aidha kwa uzembe au kwa ujinga au kwa imani yake mtu aweza kufa lakini kumbe hakuipenda nchi ila kwa matakwa yake binafsi. Shinikizo la kuifia nchi ni lazima liwe tunda la uaminifu, upendo kujitoa, kuipigania na kuitetea nchi yako. Wako wazalendo ambao wameitetea nchi yao toka utotoni, ujanani na uzeeni na hawakuifia nchi.

Watu wasio wazalendo ni hawa hapa: watu wanaoihujumu nchi kwa kuiba, kutumia rasilimali za nchi viabaya, kuharibu miundo mbinu, kuweka pesa nje ya nchi, kuisema vibaya nchi na viongozi au watu wake, kushabikia wizi na ufisadi, kuvunja sheria za nchi, kuthamini vitu na mambo kutoka nje, nk.

Unaweza kweli ukawa Mzawa, mwaminifu, mkweli lakini unakuwa kimpya watu wanapoiba na kutumia vibaya rasilimali za nchi, wewe pia sio mzalendo kwa mfano huo.

Imetolewa na Idara ya Habari Jicho la Tanzania
 
Haishangazi hii mada haina wachangiaji.

Wazalendo siku hizi ni wengi mno. Mtu anaamka asubuhi anajitangaza yeye ni mzalendo kwa vile anampenda sana rais wake na yupo tayari kupigana kulinda maslahi ya mtu huyo au kundi maalum.

Tatizo la "uzalendo", huwezi kuigiza watu wakuone wewe ni mzalendo, na huwezi kujitangazia mwenyewe kwamba wewe ni mzalendo. Watu wengine wanaokuona na kushuhudia matendo yako ndio watakaokutambua kwamba wewe ni mzalendo.

Ni kama kule kwenye dini, hata ufanye maigizo kiasi gani ili uonekane/utambulike kwamba unastahili kwenda peponi. Uamzi wa wewe kwenda peponi au la siyo wako, na wala siyo wa watu wachache unaowahonga wakupigie kampeni za kwenda peponi.

Ni dhati ya moyo wako ndiyo pekee itakayokufikisha huko.

Je, ndani ya nchi hii tunao wazalendo zaidi ya hao wawili ambao mara nyingi hutajwa?

Ndio, wapo wazalendo wengi sana, lakini hawapendi kujitokeza kutumia uzalendo wao kuitumikia nchi yao. Sijui tatizo hasa ni nini?
 
View attachment 2589254
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Mzalendo wa kweli daima anaweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma.

Kwa maana hiyo hapo juu, mzalendo ni mtu yeyote mzawa na mwenye kuipenda na kujitoa mhanga na saa nyingine ikibidi kufa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unabeba dhana nyingi sana ikianzia asili, utamaduni, lugha, siasa, historia, nk. Dhana zote zikifungwa kwenye dhana kuu ya utaifa.

SIFA ZA KUWA MZALENDO
Ili mtu aitwe mzalendo ni lazima awe na sifa hizi. Kuzaliwa nchini na angalau mzazi mmoja au wote wawili wawe ni wazawa. Kuona fahari yeye kuzaliwa nchini bila kuona aibu wala haya
Ni lazima awe mwaminifu wa kulipa kodi, kutoibia nchi kwa njia yeyote.
Kutokuwa mharibifu au mvujaji wa mali na rasilimali za nchi

Kuwapenda watu wote, hata viongozi wanaoijenga nchi bila kujali uchama, udini, ukabila wala rangi yake.
Kuwapiga vita na kuwapinga kwa nguvu zote raia wote wanaobomoa na kuharibu nchi hata kama ni wa chama chake, dini yake, kabila lake, rangi yake au ndugu na jamaa zake.

Kusaidiana na viongozi wake kuijenga nchi bila kujali uchama, udini, ukabila wala rangi yake. Kuweka juhudi kubwa katika kuisema na kuitangaza nchi yake vizuri ndani na nje ya mipaka yake.
Kupenda vitu vinavyoihusu au kutoka au kutengenezwa nchini mwake kama lugha, utamaduni, vyakula, bidhaa za viwanda, timu za michezo, wana michezo wake, na kila kitu kizuri kinachotokana na nchi yake.

Kuwafundisha na kuwahamasisha watu wake wa karibu kama familia, ndugu, majirani na marafiki kuwa wazalendo kwa kuipenda na kujitoa kwa ajili ya nchi yao.

TUIGE MIFANO YA WAZALENDO WA KWELI
Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anaweza kuwa mfano mzuri wa Mtanzania Mzalendo kwani anaingia katika sifa zote 10 hapo juu.

Edward Moringe Sokoine pia anawekwa kwenye orodha ya watanzania wazalendo ambao kwa kweli waliipigania hii nchi na watu wake na rasilimali zake hata na kupoteza maisha yake,

HITIMSHO
Kuwa mzalendo ni zaidi ya kuifia nchi yako. Kwa sababu aidha kwa uzembe au kwa ujinga au kwa imani yake mtu aweza kufa lakini kumbe hakuipenda nchi ila kwa matakwa yake binafsi. Shinikizo la kuifia nchi ni lazima liwe tunda la uaminifu, upendo kujitoa, kuipigania na kuitetea nchi yako. Wako wazalendo ambao wameitetea nchi yao toka utotoni, ujanani na uzeeni na hawakuifia nchi.

Watu wasio wazalendo ni hawa hapa: watu wanaoihujumu nchi kwa kuiba, kutumia rasilimali za nchi viabaya, kuharibu miundo mbinu, kuweka pesa nje ya nchi, kuisema vibaya nchi na viongozi au watu wake, kushabikia wizi na ufisadi, kuvunja sheria za nchi, kuthamini vitu na mambo kutoka nje, nk.

Unaweza kweli ukawa Mzawa, mwaminifu, mkweli lakini unakuwa kimpya watu wanapoiba na kutumia vibaya rasilimali za nchi, wewe pia sio mzalendo kwa mfano huo.

Imetolewa na Idara ya Habari Jicho la Tanzania
Wewe sio mwashambwa kweli?
 
Balozi Polepole asingejiingiza katika ile biashara kichaa ya kununua wapinzani ili kuwalazimisha waunge mkono juhudi, basi sifa za uzalendo kidogo angalizistahili katika historia ya nchi hii. Achilia makandokando yake madogo madogo kama ile ya mavieite (V.8).
 
Ngoja walinda legacy waje tuone wanasemaje kwanza!!
 
Mwiba mchungu mnoo kwa wale jamaa 🤣🤣!!
 
Hii dhana ya uzalendo lakini hadi uwe kiongozi huwa inanishangaza sana. Utasikia fulani ni mzalendo, lakini lazima uwe kiongozi.
 
Hakuna uzalendo kwenye taifa lenye umaskini, hujuma, Rushwa, ubadhirifu na Ujinga.

Wazalendo wa hii nchi ni wanafiki,machawa na wazalendo uchwara.
 
View attachment 2589254
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Mzalendo wa kweli daima anaweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma.

Kwa maana hiyo hapo juu, mzalendo ni mtu yeyote mzawa na mwenye kuipenda na kujitoa mhanga na saa nyingine ikibidi kufa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unabeba dhana nyingi sana ikianzia asili, utamaduni, lugha, siasa, historia, nk. Dhana zote zikifungwa kwenye dhana kuu ya utaifa.

SIFA ZA KUWA MZALENDO
Ili mtu aitwe mzalendo ni lazima awe na sifa hizi. Kuzaliwa nchini na angalau mzazi mmoja au wote wawili wawe ni wazawa. Kuona fahari yeye kuzaliwa nchini bila kuona aibu wala haya
Ni lazima awe mwaminifu wa kulipa kodi, kutoibia nchi kwa njia yeyote.
Kutokuwa mharibifu au mvujaji wa mali na rasilimali za nchi

Kuwapenda watu wote, hata viongozi wanaoijenga nchi bila kujali uchama, udini, ukabila wala rangi yake.
Kuwapiga vita na kuwapinga kwa nguvu zote raia wote wanaobomoa na kuharibu nchi hata kama ni wa chama chake, dini yake, kabila lake, rangi yake au ndugu na jamaa zake.

Kusaidiana na viongozi wake kuijenga nchi bila kujali uchama, udini, ukabila wala rangi yake. Kuweka juhudi kubwa katika kuisema na kuitangaza nchi yake vizuri ndani na nje ya mipaka yake.
Kupenda vitu vinavyoihusu au kutoka au kutengenezwa nchini mwake kama lugha, utamaduni, vyakula, bidhaa za viwanda, timu za michezo, wana michezo wake, na kila kitu kizuri kinachotokana na nchi yake.

Kuwafundisha na kuwahamasisha watu wake wa karibu kama familia, ndugu, majirani na marafiki kuwa wazalendo kwa kuipenda na kujitoa kwa ajili ya nchi yao.

TUIGE MIFANO YA WAZALENDO WA KWELI
Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anaweza kuwa mfano mzuri wa Mtanzania Mzalendo kwani anaingia katika sifa zote 10 hapo juu.

Edward Moringe Sokoine pia anawekwa kwenye orodha ya watanzania wazalendo ambao kwa kweli waliipigania hii nchi na watu wake na rasilimali zake hata na kupoteza maisha yake,

HITIMSHO
Kuwa mzalendo ni zaidi ya kuifia nchi yako. Kwa sababu aidha kwa uzembe au kwa ujinga au kwa imani yake mtu aweza kufa lakini kumbe hakuipenda nchi ila kwa matakwa yake binafsi. Shinikizo la kuifia nchi ni lazima liwe tunda la uaminifu, upendo kujitoa, kuipigania na kuitetea nchi yako. Wako wazalendo ambao wameitetea nchi yao toka utotoni, ujanani na uzeeni na hawakuifia nchi.

Watu wasio wazalendo ni hawa hapa: watu wanaoihujumu nchi kwa kuiba, kutumia rasilimali za nchi viabaya, kuharibu miundo mbinu, kuweka pesa nje ya nchi, kuisema vibaya nchi na viongozi au watu wake, kushabikia wizi na ufisadi, kuvunja sheria za nchi, kuthamini vitu na mambo kutoka nje, nk.

Unaweza kweli ukawa Mzawa, mwaminifu, mkweli lakini unakuwa kimpya watu wanapoiba na kutumia vibaya rasilimali za nchi, wewe pia sio mzalendo kwa mfano huo.

Imetolewa na Idara ya Habari Jicho la Tanzania
Hadi wananchi wenyewe waamke ndio mambo yataenda sawa vinginevyo tutapigwa mpaka mwisho wa Dunia.

Nchi hii kuna watu wana maisha magumu sana halafu baadhi kundi la watu wachache wanaogelea pesa.

Hii Nchi inachezewa sana halafu wanalindana.
 
Naunga mkono hoja.
P
 
Wafuasi wa mzalendo wa mchongo waache kutupigia kelele sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom