Rais Samia amefanikiwa kuleta Amani na Utulivu katika mioyo ya Watanzania

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,293
9,723
Ndugu zangu watanzania,

Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais Samia na serikali yake ya CCM amefanikiwa kwa kiasi kikubwa Sana katika kuleta Amani na utulivu katika mioyo ya watanzania,watu Wana amani na utulivu mkubwa Sana katika mioyo Yao inayotokana na usikivu wa Rais Samia na serikali yake,kutoa majibu kwa wakati kwa kero na changamoto,kuwa karibu ya wananchi, kufanya maamuzi yanayogusa maisha ya watu,kutoa kipaombele katika Mambo yanayoleta Tabasamu na matumaini katika maisha ya watu wengi,kuwekeza maeneo yenye kuleta tija kwa watu.

Watu Wana matumaini ya kutimiza na kufikia ndoto zao kwa kuwa wanaona milango ya fursa ikifunguka kila Siku,Hakuna anayeishi kwa hofu Wala kukata Tamaa,Hakuna anayeona serikali ikiwa kikwazo katika shughuli zake,kila mtanzania anajiona Anayo nafasi ya kuaga umasikini,kila mmoja anaona serikali ipo kwa ajili yake na kwa ajili ya kumsaidia,kila mmoja anaiona serikali ya Rais Samia Kama muwezeshaji na siyo mkwamishaji na mnyonyaji wa jasho lake.

Watanzania wanafurahishwa na kuguswa na hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali yao ya CCM ambazo zimekuwa zikileta nuru na matumaini katika maisha yao,wanaiona kesho iliyo njema na yenye kupendeza, wanaona watoto na wajukuu zao wakija kuishi katika Taifa lenye pumzi Safi,wanaiona Tanzania yenye kutiririsha fursa katika kila Kaya yenye kujishughulisha.

Ndio sababu ya Mioyo Yao kuwa yenye amani na utulivu,ndio sababu ya Kuendelea kuiunga mkono serikali yao ya CCM,ndio sababu ya Kuendelea kuwa bega kwa bega na Rais wao,ndio sababu ya kutokubali kushawishika na yeyote kuvuruga amani ya Taifa letu na ndio sababu ya Kuendelea kuwa wenye utulivu na Subira wakati wote.

Kazi iendeleee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
 
Endelea kupambana ipo siku mrija wa asali utakufikia.
Mrija wangu wa asali upo shambani huko ndiko najipatia chakula changu kwa jasho langu na nguvu za mikono yangu,siandiki hapa kwa ajili ya kupata Fadhira,Mimi Kama mkulima Namuunga mkono mh Rais na serikali yake kwa kazi kubwa na ya kutukuka aliyoifanya katika kutuinua wakulima na kutufuta machozi ,kwa kukipa thamani kilimo kwa kauli yake ya kilimo Ni biashara iliyoinua morali ya wakulima na kuleta Tabasamu na matumaini katika mioyo Yao
 
Ndugu zangu watanzania,

Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais Samia na serikali yake ya CCM amefanikiwa kwa kiasi kikubwa Sana katika kuleta Amani na utulivu katika mioyo ya watanzania,watu Wana amani na utulivu mkubwa Sana katika mioyo Yao inayotokana na usikivu wa Rais Samia na serikali yake,kutoa majibu kwa wakati kwa kero na changamoto,kuwa karibu ya wananchi,kufanya maamuzi yanayogusa maisha ya watu,kutoa kipaombele katika Mambo yanayoleta Tabasamu na matumaini katika maisha ya watu wengi,kuwekeza maeneo yenye kuleta tija kwa watu.

Watu Wana matumaini ya kutimiza na kufikia ndoto zao kwa kuwa wanaona milango ya fursa ikifunguka kila Siku,Hakuna anayeishi kwa hofu Wala kukata Tamaa,Hakuna anayeona serikali ikiwa kikwazo katika shughuli zake,kila mtanzania anajiona Anayo nafasi ya kuaga umasikini,kila mmoja anaona serikali ipo kwa ajili yake na kwa ajili ya kumsaidia,kila mmoja anaiona serikali ya Rais Samia Kama muwezeshaji na siyo mkwamishaji na mnyonyaji wa jasho lake.

Watanzania wanafurahishwa na kuguswa na hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali yao ya CCM ambazo zimekuwa zikileta nuru na matumaini katika maisha yao,wanaiona kesho iliyo njema na yenye kupendeza, wanaona watoto na wajukuu zao wakija kuishi katika Taifa lenye pumzi Safi,wanaiona Tanzania yenye kutiririsha fursa katika kila Kaya yenye kujishughulisha.

Ndio sababu ya Mioyo Yao kuwa yenye amani na utulivu,ndio sababu ya Kuendelea kuiunga mkono serikali yao ya CCM,ndio sababu ya Kuendelea kuwa bega kwa bega na Rais wao,ndio sababu ya kutokubali kushawishika na yeyote kuvuruga amani ya Taifa letu na ndio sababu ya Kuendelea kuwa wenye utulivu na Subira wakati wote.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
CCM inazalisha watu wa hovyo sana.
 
CCM inazalisha watu wa hovyo sana.
CCM ndio chungu Cha kupika viongozi wazalendo,imara, madhubuti,shupavu,maridadi ,Hodari na walioiva katika kulitumikia Taifa letu,ndio maana Taifa letu limefika hapa lilipo kutokana na maono makubwa ya kiuongozi waliyonayo viongozi walioandaliwa vyema ndani ya CCM,
 
Mrija wangu wa asali upo shambani huko ndiko najipatia chakula changu kwa jasho langu na nguvu za mikono yangu,siandiki hapa kwa ajili ya kupata Fadhira,Mimi Kama mkulima Namuunga mkono mh Rais na serikali yake kwa kazi kubwa na ya kutukuka aliyoifanya katika kutuinua wakulima na kutufuta machozi ,kwa kukipa thamani kilimo kwa kauli yake ya kilimo Ni biashara iliyoinua morali ya wakulima na kuleta Tabasamu na matumaini katika mioyo Yao
Hata mimi ni mkulima kama sehemu ya pili ya kuingiza kipato. Kilimo ni kigumu na kipato ni kidogo na kigumu.
Nasisitiza usikate tamaa, teuzi ndio uhakika wa maisha kwa sasa.
 
Hata mimi ni mkulima kama sehemu ya pili ya kuingiza kipato. Kilimo ni kigumu na kipato ni kidogo na kigumu.
Nasisitiza usikate tamaa, teuzi ndio uhakika wa maisha kwa sasa.
Napenda kukupa moyo na nguvu za Kuendelea kukiamini kilimo katika kukukwamua kiuchumi, hasa kipindi hiki ambacho Rais Samia na serikali yake ameamua kukishika mkono,kukipa heshima,Thamani na kipaombele.

Kilimo Ni kazi ya heshima ambayo unapaswa kujivunia maana unashiriki katika kulifanya Taifa letu kuwa Tulivu na lenye amani wakati wote maana kupitia chakula tunachozalisha wakulima kwa nguvu za mikono yetu inafanya Taifa letu kuwa na chakula Cha kutosha na hivyo kuwafanya watu kuwa wenye utulivu,kwa kuwa lazima ufahamu ya kuwa huwezi ukamuongoza wala kusikilizwa na mtu mwenye njaa ya chakula,mtu mwenye njaa ya chakula huendana na kukata Tamaa na kujitoa mhanga kwa lolote Kama sehemu ya kuonyesha hasira yake ,

tumuunge mkono mh Rais wetu na serikali yake kwa kuchapa kazi kwa juhudi na maarifa, sote hatuwezi kuwa watumishi wa umma au viongozi au wabunge au madc au maRc au maDed au Das ,lazima Tutambue ya kuwa uongozi unatoka kwa Mungu na tunapaswa kuwaunga mkono na kuwapa ushirikiano wale walio inuliwa na Mwenyezi MUNGU kututumikia watanzania,lazima tuwaombee kwa Mwenyezi MUNGU awapatie hekima na busara za kiuongozi na watambue ya kuwa uongozi Ni utumishi kwa watu na Ni dhamana, lazima watambue ya kuwa maisha ya watanzania Yana Thamani kubwa kuliko kitu chochote kile na hivyo lazima wayalinde kwa nguvu zao zote kisheria na kikatiba.
 
Ifike Wakati Uone Aibu Japo Kidogo
Atendaye jinai na uharifu wa aina yoyote Ile ndiye anapaswa kuona aibu kwa matendo Yake na anapaswa kulaani na kuelemewa na kila mtu,lakini Mimi hapa sitendi jinai Wala uharifu na sivunji Sheria ya aina yoyote Ile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom