Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nikisema niandike hapa ukurasa hautoshi, Chuo pekee Dar cha walemavu Yombo Kiwalani kinapiga Uturn badala ya kusonga mbele tangu Nyerere alipokijenga na Mzee Mengi akawa anafadhili na akajenga...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Na Mwandishi wetu, WHMTH, Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya mageuzi makubwa katika Shirika la Mawasiliano...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari, Nikiwa nasogeza muda jioni hii, nikakutana na habari hii kuwa serikali inafikiria kuwalipa mishahara Madiwani ili kuzuia wizi na tamaa kwenye usimamizi wa pesa za miradi ya halmashauri ya...
1 Reactions
1 Replies
546 Views
Wakuu vipi, kwema. Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea duniani, nikagundua kwamba Marekani na Tanzania yetu kuna baadhi ya mambo huwa tunafanana haswa kwa upande wa mambo ya kufukia...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Yafuatao ni maoni na mtazamo wangu binafsi juu ya uwepo wa haja kubwa ya Marekebisho ya haraka ya Katiba yetu ya JMT kulingana na mahitaji ya sasa. Marekebisho haya yafanyike haraka na mapema...
1 Reactions
2 Replies
668 Views
MHE. ROSE TWEVE APELEKA MILIONI 7 IRINGA, APINGA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amendelea na ziara yake ya siku tatu Wilaya ya Iringa mjini...
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Hapo juu ni ukurasa maalum wa mitandao ya kijamii wa mtoto wa Malecela ukiwatuhumu Viongozi hasa wahusikao na nishati ya umeme inayoongozwa na Makamba kwa kufanya mambo yasiyo na u-muhimu huku...
18 Reactions
58 Replies
7K Views
Huku raia sisi tukiendela kuimba ngonjera za kusikitika kwenye mitandao ya kijamiii, hawa watawala wao wanazidi kufanya yale wanauo penda, hakuna kitakacho badilika, hata katiba mpya haitabadili...
42 Reactions
242 Replies
19K Views
Naona kenya na Uganda wakichukua raia wao haraka baada vita vinavyopigana zaidi mijini ambapo ndio wageni wengi wanaishi na kufanya kazi . Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa katika...
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Pamoja na uchawa wake na kupenda kujipendekeza kwenye mikataba Professor kabudi umesaidia sana kuangalia mikataba na kuweka uwazi ambao haukuwepo. Zamani tulikuwa na Chenge ambaye alikuwa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kila awamu ya uongozi Kuna Viongozi wanakuwa tishio Sana sio ndani ya Chama tu hata nje ya Chama!! Awamu ya tano iliyokuwa inaongozwa na Mh.JPM,kulitokea baadhi ya Viongozi ambao walikuwa tishio...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Miaka 60 baada ya uhuru, bado hatuna miundombinu iliyo bora kuifanya nchi angalau kutajwa tu kati ya nchi kadhaa zinazofanya vizuri kwenye barabara. Pamoja na kuwa na taasisi kama Tanroad na sasa...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Fanya utafiti mdogo tu utakubaliana kuwa Mfumo wa CHAWA CCM wameiga toka Chadema Bavicha ndio walikuwa na Utaratibu wa kujimilikisha kwa kiongozi mmoja mmoja ndipo Mwenyekiti Wao Patrobas...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa nini wale Polepole kawaita wahuni hawafai uongozi nitatoa mfano wa TANESCO chini ya waziri wake kijana Januari. Kuingia tu akaja na mipango kemkem TANESCO mmojawapo wa mipango ni huu wa...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Tuihukumu Mbeya, Mbeya ilitoa viongozi shupavu sana nchi hii na viongozi wenye kujiamini sana na wenye kusimamia misimamo yao kikamilifu, hapa tunamuona Prof. Mwandosya, Sugu, Mwakyembe na...
5 Reactions
13 Replies
922 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliitaka wizara ya madini kuhakikisha wanafanya kazi kubwa kuongeza mchango wa sekta hiyo kwenye pato la Taifa kutoka kutoka...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Kwanza nitoe Pongezi zangu Nyingi kwa Viongozi wa Kitaifa akiwemo Mh Rais Samia Suluhu Hassan, rais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania. Pongezi zingine ziwaendee viongozi wakuu wa vyama vya siasa...
8 Reactions
79 Replies
4K Views
Uko msamiati miongoni mwa wanazuoni wa Kikoloni kuelezea mtu ambaye kwa juhudi na maarifa yake pekee, bila usaidizi wa mtu ama mifumo au jamii fulani ya watu, huweza kufanikisha ama kufanikiwa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Dodoma/ Dar. Kufuatia kauli ya mbunge wa Makambako, Deo Sanga ya kuitaka Chadema kutosimamisha mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimesoma kitabu cha "Will Propaganda Work in Modern World?" Mwandishi pamoja na mambo yote anasema, "moja ya sifa chanya na bora kwa kiongozi makini ni kujua watu wake wanahitaji nini kwa wakati...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…