Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni wajibu wa vyama vinavyojitanabaisha kuwa vya ukombozi kuwahamasisha na kuwaongoza watu kudai haki zao. Mtaji wa vyama hivyo ni watu. Ni jukumu kipaumbele la vyama vinavyojitambua kuwa mkao wa...
1 Reactions
11 Replies
631 Views
Geita. Mkuu wa mkoa wa Geita, Martine Shigella amezitaka halmashauri za mkoa huo zinazopokea fedha za uwajibikaji wa kampuni kwa jamii (CSR) kuhakikisha miradi inayotekelezwa inaleta matokeo...
1 Reactions
3 Replies
589 Views
Sungusia hana Uwezo wa kuongoza nyakati Ngumu! Huyakimbia matatizo! Historia ya Wakili Harold Sungusia inamuweka upande wa watu ambao hawana uwezo wa kukabiliana na changamoto ngumu pindi...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa nchi 14 Wanachama wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika, Kanda ya Nne wa Mawaziri na Wakurugenzi wa Michezo utakaofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 2...
2 Reactions
4 Replies
572 Views
Tukio la tapeli wa kiroho Bwana Paul Mackenzie kuratibu mauaji ya watu zaidi ya 76 kwasasa, ambapo kwamjibu wa makadirio wa Idara ya upelelezi na maafa ya Kenya inasema wanaweza kufika 150 baadae...
59 Reactions
253 Replies
17K Views
DHAHABU NI NZITO KULIKO DAMU? Kuna msemo wa Kiswahili unaosema “damu mzito kuliko maji”. Kwa ufahamu wangu, hakuna binadamu anayeweza kuishi bila kuwa na damu. Hivyo damu ni uhai. Lakini umuhimu...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam, Hatimaye ile ndoto ya siku nyingi ya Uwanja wa ndege sumbawanga uliokuwa hautumiki imetimia. Leo Serikali inayoongozwa na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kipindi cha sakata la Membe,Makamba na Mzee Kinana kuhojiwa na kamati kuu Mh Membe pekee ndiye aliyegoma kuomba radhi kwa chama na viongozi kwa madai kuwa hakuna kosa alilofanya na alisema yuko...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa yale yanayotokea Sudan kwa sasa nimeamua kumpa Freeman Mbowe baraka zote abaki kwenye Maridhiano vinginevyo watakaoumia ni Watu wa kawaida na Wanyonge Maridhiano ndio mpango mzima...
0 Reactions
8 Replies
477 Views
Umoja wa Mataifa, UN unaripoti kwamba Tanzania kuwa namba 3 Kwa Kasi ya kukua Kwa uchumi Africa ikitanguliwa na Ivory Coast na Rwanda. Uchumi wa Tanzania unatarajia kukua Kwa wastani wa Asilimia...
9 Reactions
26 Replies
3K Views
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA MADINI-ACT WAZALENDO NDG. EDGAR FRANCIS MKOSAMALI KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24. Utangulizi. Katika mwendelezo wa kufuatilia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawashauri tu ndugu zangu Viongozi dunia imebadilika sana Yesu kabla ya kusulubiwa Mafarisayo na Wanasheria walikuwa wanamtega kwa MANENO ili wapate kumnasa kwa Maneno yake mwenyewe Sabato Njema!
3 Reactions
5 Replies
639 Views
I think I am able to decipher what the problem is. Huyu Musiba nadhani dark past, something bad has happenned in his life, kwake personally au kwa watu walio karibu naye. Nadhani ndicho wanachoita...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Ukifuatilia nyendo za Viongozi Wakuu wa CHADEMA unaona kabisa ni wazi tena kwa makusudi wameamua wawe chawa wa Samia (wa CCM) wakidhani wanamkomoa Hayati Magufuli kwa kile wao hudhani na kuamini...
2 Reactions
14 Replies
715 Views
Wakati Mh RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan kiu yake ya mchango wa madini kwenye GDP angalau kufikia asilimia 10 % kufikia mwaka 2025,Profesa Sospeter Muhongo anasema...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kupitia ukurasa wake wa twitter huyo Kigogo ametaka ufanyike Uchunguzi huru wa ajali iliyomuuwa Deo Filikunjombe aliyetarajiwa kuwa Waziri mkuu wa Serikal ya Shujaa Magufuli Kigogo ametaka...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi nilisoma Shule moja ya serikali ya Jijini Dar es salaam, japo kwa miaka miwili tu na baadaye nikahama , Shule ile ya sekondari wakati ule waliochaguliwa kusoma pale ni wale waliofaulu vizuri...
17 Reactions
157 Replies
8K Views
Kwa mteule yeyote wa Rais wa JMT kama alivyo DC Moses Machali DC wa Mkalama Singida kwenda kinyume na maelekezo ya Rais katika mikutano ya hadhara ni kumdharau. Sasa sijui huyu ana mdharau kwa...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea. Leo hii CCM wamewapanda Watanzania vichwani na wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wamefanya ziara ya takribani siku 10 nchini China iliyoanza Aprili 17, 2023 na kutamatika Jana Aprili 28, 2023...
1 Reactions
1 Replies
727 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…