Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,019
- 74,692
Kwa mteule yeyote wa Rais wa JMT kama alivyo DC Moses Machali DC wa Mkalama Singida kwenda kinyume na maelekezo ya Rais katika mikutano ya hadhara ni kumdharau. Sasa sijui huyu ana mdharau kwa nini, au kwa sababu ni mwanamke? Maana Kigoma wana tabia hiyo ya kurithi.
Rais katoa ridhaa ya kushughulikia suala la katiba mpya na tayari michakato muhimu imeanza, sasa DC kutumia ignorance ya watu vijijini kuwapotosha kuwa hakuna haja ya katiba mpya ni kutangaza uasi ili wananchi wamuone wa hovyo.
Nashangaa DSO yupo hapo Mkalama na RSO yupo Singida na wanaona hayo ni matukio ya kawaida, au na wao wanaunga mkono kauli za Machali dhidi ya agizo la Rais? Au hawa ndio wale wahafidhina wanaotajwa ?