Uwanja wa Ndege wa sasa wa Bukoba ulivyo ni uwanja hatarishi sana na hii ndege ya @precisionairtz kupata ajali ni ndege ya 4 . Zingine zimewahi pata ajali kwenye mawe kutokana na ufinyu wa uwanja...
Good afternoon jamiiforums
Ndugu zangu mnaofanya kazi ubalozi wa Tanzania huko mjini Doha nchini Qatar, kombe la dunia la mwaka 2022 lipo njiani linakuja, tunaomba mjipange hata kama budget ni...
Ilani ya CCM inasema kwamba CCM itapambana na Rushwa na ufisadi kwa nguvu zake zote Sasa Hawa mawakala wa wanyonyaji wanatoka chama gani kama siyo ushamba tu wanaoulekeza yaani watu wengi...
Mwanasaikolojia Dr Elly amesema Elimu ya Tanzania hadi leo ni ile tuliyoletewa na Mkoloni ili waweze kututawala kirahisi.
Ndio sababu hadi leo Mtanzania hujiona bora anapokuwa na rundo la Vyeti...
Ili kuweza kufikia kupanda na kukuza miti angalau bilioni 50 baada ya miaka kumi kutoka sasa, ambapo hali ya ukame inaweza kuwa ni mbaya zaidi kuwahi kutokea ni muda sahihi Serikali ikaazisha...
Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo...
UMATI UCHAGUZI WA CCM NI SALAMU ZA SUNAMI 2024-2025.
Shaka asema idadi hiyo kubwa inatokana na uongozi bora wa Rais Samia
Asisitiza uchaguzi wa mwaka huu umevunja rekodi kwa kuwa haijawahi...
“Najua kuna Maafisa wa Usalama wa Taifa hapa kwenye Mkutano wetu Ruangwa, nawatuma wakamwambie Waziri Mkuu kuwa Zitto anasema maliza hofu Ruangwa.
“Watu wako hawawezi kukupenda kama wana hofu ya...
KWA MKATABA MBOVU WA Tanzania Liquefied Natural Gas Project KWA MIAKA 30 IJAYO HATUTAKUWA NA GESI TANZANIA."
Na, John Mnyika
#NguvuYaKusini
Songo Songo ya Lindi imewaathiri, limekuja bomba la...
Wasifu wa hawa Waheshimiwa Watatu niliowataja hapo Juu ni wa kipekee kwa kila mmoja wao na watabaki kuwa nao wao tu
Mungu akikupa amekupa hauhitaji nguvu kubwa
Mlale unono kesho Kanisani!
Kwa kuangalia kuanzia mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa daresalaam na wa chini yake kimuundo utagundua ni kama kuna mahali hapo sawa kwani dini moja imechukua hatamu nachojiuliza wengine hawakuwa na...
Maisha ni mipango. Na kila aliyefanikiwa leo ujue alipanga na kutekeleza mipango yake vizuri siku nyingi nyuma
Leo Ethiopia wametangaza kutimiza malengo yao waliyojiwekea mwaka 2019 kupanda miti...
Ndugu zangu
Natumai nyote muwazima wa afya
Tunapoelekea katika Chaguzi za Jumuiya na Chama kama Vijana na wanachama tunao wajibu wa kukisaidia Chama na Jumuiya zake kupata Viongozi wenye sifa za...
Je ni kweli kuwa kile kikosi kazi kilichoundwa na Msajili wa Vyama kujadili Masuala ya Katiba Tume huru na Mikutano ya Vyama vya Siasa HAKIPO KISHERIA kutokana na kutotungiwa Sheria na BUNGE na...
Mbunge Luhaga Mpina Kada wa CCM anashambuliwa na wana CCM wenzake hadi kufikia kukatwa jina lake kugombea nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu yA tAIFA nEC kwa kosa la kusimamamia Ilani ya...
Tanzania usiposifia viongozi hata uwe na madaraka makubwa kiasi gani watatokea watu watakushambulia kwa maneno na matusi na mwisho watakuambia jitathimini
Tumeshuhudia kwa Spika Ndugai licha ya...
The power Game, Anaeweza kushika madaraka ndie yupo juu zaidi, Mfano kwa Nigeria kanda ya kaskazini wapo nyuma kielimu na kibiashara lakini linapokuja suala la Power wao ndio wameikamta na kuweza...
PANGA LA NEC LAMFYEKA LUHAGA MPINA- JINA LAKE LAENGULIWA KUGOMBEA UJUMBE WA NEC.
* Mambo 11 yaliyomponza yatajwa
HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi imeliengua jina la Mbunge wa...