voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,943
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara WAKUBWA,VIGOGO wa kisiasa na kiserikali ama MAKUNDI binafsi yaliyo na USHAWISHI KISIASA na KIUCHUMI,wanapoungana ili kufanya mabadiliko kwa minajiri ya kuwanufaisha wao binafsi.
Hapo ndio mbinu kama za uteuzi wa nyadhifa za kiserikali,zinapochukuwa mkondo wa ki- mfumo.
Kwamba makundi yale ambayo yalipaswa kuwa sehemu ya uelimishaji kwa jamii kama vile.
Waandishi wa habari,Wahariri wa vyombo vya habari,Wafanyabiashara,Wasanii na hata viongozi baadhi ya vyama vya siasa pinzani hushirikishwa kupitia teuxi mbalimbali.
Mfano..
Uwaziri,Ubalozi wa nchi za nje,Ukuu wa mikoa na Wilaya,Ukurugenzi wa Bodi za mashirika nyeti ya umma nk.
Na kwa wale wenye ushawishi bado,ila wamestaafu utumishi wa Umma,wao huishia kupewa teuzi za kulia pensheni za posho za vikao huko kwenye bodi za mashirika ya umma na taasisi mbalimbali zikiwemo vyuo vya elimu ya juu nchini.
MADHARA yake!
Hakuna uwajibikaji kwa wananchi sababu kila msimamizi,anakuwa sehemu ya walaji.
Taaluma na weledi unaporomoka kitaifa,kwa sababu wateuliwa wengi sio waliostahili kuwepo pale walipo kwa uwezo wa kitaaluma,bali kwa uwezo wa kisakatonge!
Kwa maslahi ya walioko madarakani na washirika wao!
Imagine mzee mstaafu anapewa ukurugenzi wa bodi ya chuo kikuu,ilhali yeye ni mzee aliyezeeka kiumri na hata uwezo wa kiakili pia umechakaa kwa kiwango kikubwa!
What next?
Au mnamteua mtu mstaafu,kuwa Mkurugenzi wa shirika ambalo linahitaji kuwa na bodi yenye uelewa na kuhoji mambo yaliyo katika teknolojia ya kusasa duniani!
What do you expect?
Wataweza hao kupambana na waajiriwa hawa michwa ya hazina ya taifa,katika ubora wa urefu wa kamba zao,na teknolojia ya kisasa?
Na bado tumeshikiwa akili..
Tukiwasifia kwa
"Ulamba Asali"
Tumekubali kuhalalisha kizazi cha 'Mashoga' na "Machawa"
Tanzania Tulirogwa Na Nani?