Nimemtazama Lowassa akiwa kwenye harakati za kusaka wadhamini 30 kila mkoa, nimemuhurumia sana. Nikajiuliza, let's say chama chake kimpitishe kugombea jambo ambalo sio rahisi sana. Je, ataiweza...
Watanzania tuache unafiki. Wakati Musiba anamtukana membe watu wote tulisikia na hao maaskofu walisikia.
Wananchi tulinyamaza hakuna aliyesimama kumkaripia au kumkataza musiba asimtukane membe na...
Tunakumbushana tu hayo ndio majina 5 yaliyopitishwa na Kamati Kuu ya CCM kugombea Urais wa JMT
Ni kwamba hao wote Wana sifa za kuwa Rais wa JMT
Waliokosa sifa Kamati Kuu ya CCM iliwatema...
Mahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili mkurugenzi mkuu wa gazeti la Tanzanite na mwanaharakati huru, ndugu Musiba dhidi ya aliyekuwa Waziri wa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.
Pamoja na uzoefu wake ktk siasa...
Salaam Wakuu,
Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais...
KISHINDO CHA MEMBE KUREJEA CCM,SHAKA AONGOZA MAPOKEZI.
ALIYEKUWA mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Bernard...
Membe pamoja na porojo zote ulizonazo mdomoni za kuchafua aliyekuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania DR.JOHN POMBE MAGUFULI kamwe huwezi kuwa saizi yake katika utendaji wala ushawishi...
Nimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu...
CYPRIAN MUSIBA.
Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua...
Ktk kesi ya mbowe ya ugaidi,mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu,mashabiki woote wa chadema waliilalamikia mahakama kwa kutumika kisiasa kukandamiza upinzani,wakasema mahakama za Tanzania ni hovyo...
Wajumbe wa Kamati kuu ya Chadema wakiongozwa na Mh Lema na Mh Wenje hawatasahau ukarimu wa Mseminari Benard Membe aliyewakaribisha Kujikimu kwake Rondo ambako walikula na kunywa na wengine kupata...
Dk. Bashiri Ally, wewe ni Mwalimu wangu wa siasa ya sayansi pale UDSM na ulinipenda sana kwa hoja zangu. Uliwahi kusema darasani, ,"politic is dynamic". Somo hili ulilikuza sana kwetu hata kama...
MBUNGE JANEJELLY NTATE AHOJI KULIPWA POSHO ZA WATENDAJI WA KATA
Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amehoji Bungeni kuhusu...
Jamani hili jambo limekaa kisiasa pia, mm uzi wangu umelenga kuuliza swali je mnufaika wa mkopo ya elimu ya juu anaweza kufanya kazi nje ya nchi na kama ndio vipi kuhusu makato yake au ndo mpk...
Kama NECTA wangepewa kusahihisha posts za JF na kutoa matokeo ya wanaostahili kubaki JF nadhani wangebaki watano tu (mimi nikiwemo) na Melo angelazimika kufunga JF maana asingeweza kutumia...
Maridhiano yaliyofanywa kati ya CCM na CHADEMA, kila mwenye akili timamu alijua mwisho wake
Hao wenye akili na macho ya kuona kama kina Lissu, waliuona huo mchezo kwamba, hauna tija wala mwisho...
Tanzania inatajwa kuwa Nchi ya pili duniani kwa utajiri wa vivutio vya utalii ikiwa na hifadhi za Taifa 22, mapori ya akiba 27, mapori tengefu takribani 42 na kilomita za fukwe zisizopungua 1428...
Tangu awali alipoteuliwa nilisema huyu siye, hiyo ilitokana na yeye kujitambulisha ni muumini wa CCM.
Hivi sasa tunashuhudia yeye akitoa maoni kuhusu kuwepo au kutokuwepo katiba mpya, yeye ni...
SERIKALI INAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIKOSI VYA JESHI: WAZIRI BASHUNGWA
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa (Mb) amesema Wizara inaendelea kutenga fedha kwa...