Dk. Bashiru Ally usikae kimya, muokoe Cyprian Musiba

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Dk. Bashiri Ally, wewe ni Mwalimu wangu wa siasa ya sayansi pale UDSM na ulinipenda sana kwa hoja zangu. Uliwahi kusema darasani, ,"politic is dynamic". Somo hili ulilikuza sana kwetu hata kama haina mantiki yoyote kwa siasa za Afrika.

Dk. Bashiru kama kweli ni mhafidhina naomba umsaidie Samia kwa kuweka hadharani Ile ripoti ya Mali za CCM iliyokupa u-SG Kwa Magufuli. Ripoti hii unayo nyumbani kwako ila unalazimisha ikae kwa "housegirl" Hanifa na hutaki ijulikane. NINAYO.
 
Cc
Humphrey polepole
Alone kwenye jalada hii
.
20230411_213641.jpg
 
Dk. Bashiri Ally, wewe ni Mwalimu wangu wa siasa ya sayansi pale UDSM na ulinipenda sana kwa hoja zangu. Uliwahi kusema darasani, ,"politic is dynamic". Somo hili ulilikuza sana kwetu hata kama haina mantiki yoyote kwa siasa za Afrika.

Dk. Bashiru kama kweli ni mhafidhina naomba umsaidie Samia kwa kuweka hadharani Ile ripoti ya Mali za CCM iliyokupa u-SG Kwa Magufuli. Ripoti hii unayo nyumbani kwako ila unalazimisha ikae kwa "housegirl" Hanifa na hutaki ijulikane. NINAYO.
Mbona unahangaika sana wewe, tulia alipe gharama za matusi yake!!!
 
Back
Top Bottom